Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Bora uwaite maaana nimewakaibisha hakuna hata mtu mmoja aliyesema asante wewe umekuwa ni wa kwanza asante karibu tule pamoja.Duh menu imekamilika....bado chai ya maziwa tu yenye zatari,hiliki na tangawizi....
Cc mimi49 n Angel Nylon
Bora uwaite maaana nimewakaibisha hakuna hata mtu mmoja aliyesema asante wewe umekuwa ni wa kwanza asante karibu tule pamoja.
waache tu wazubae mdogo tule chakula chetu.Hahahahahahah subiri niwaite mashosti zangu wa kule jikoni tuje kula....
Lete jamvi tutandike MziziMkavu..
hahahah umezoea shida wewe hutaki kupata shauri yako na makande yako.Mimi tumbo langu limezoea makande hapo hayapo nashindwa karibia MziziMkavu Lol!
Futari kwani huu ni mwezi wa Ramadhani mkuu?Futari hiyo
Nilijaribisha hizo raha ikawa mama mwana...tumbo la msokota,ndio maana sitaki hadi leo hii lol!hahahah umezoea shida wewe hutaki kupata shauri yako na makande yako.
kwani umeona mihogo hapo?Futari hiyo
Unauliza mbege kwani kuna kisusio hapo?Mbege ipo hapo?