Mzee Kitinku
Member
- Sep 23, 2026
- 29
- 32
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo anawakaribisha wananchi wote wa Tanzania kwenye mbio za Kitonga Marathon zinazotarajia kufanyika mwisho wa mwezi huu pale Mlima Kitonga uliopo kwenye Kata ya Ilula Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa.
Don't miss. Utaratibu wa kujisajili ni kama unavyoonekana kwenye bango hilo hapo.
Wote mnakaribishwa.
Don't miss. Utaratibu wa kujisajili ni kama unavyoonekana kwenye bango hilo hapo.
Wote mnakaribishwa.