Hii menu babkubwa!lazima usinzie ukishashiba!Hahahahahahah subiri niwaite mashosti zangu wa kule jikoni tuje kula....
Lete jamvi tutandike MziziMkavu..
Nipo sehemu za uswahili Manzese karibu na uwanja wa fisi karibu hapo ukifika nitonye tu nitakufuata lakini sehemu zenyewe zinatisha kwa usiku unaweza kupigwa loba wee..........hebu nielekeze ni maeneo gani ili nije