Karibuni Songea

Karibuni Songea

Huu Uzi unaonesha wilaya ya songea watu wengi sana wamepita kule either kwa kusoma au shughuli nyingine, Mimi pamoja na kuzurura kwangu miji ya watu lakini nikirudi nyumban songea nahisi kama Niko Los Angeles hivi, moyo wangu unakua na amani sana.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Huku mbona LA mkuu yaani full amani
 
Back
Top Bottom