Karibuni Songea

Karibuni Songea

Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.

Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.

Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe

Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)


Karibuni Songea
Mkuu acha uchoyo japo ka picha ka kimpumu....


☺️☺️☺️😊😊🙂
 
siwezi/sjui jinsi ya kutag ningetag wangoni kibao hapa
Bofya hii alama @
Screenshot_20230612-165801.jpg
Screenshot_20230612-165856.jpg
 
Back
Top Bottom