Karibuni Songea

Karibuni Songea

karibu utatukuta na chanta na lacharz yetu [emoji2956]
Mie napendaga kukaa pale Krista park,

Km La charlz huwa naingia lounge kule ndani, afu natuliaa kushangaa walevii, maana situmii kinywaji mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie napendaga kukaa pale Krista park,

Km La charlz huwa naingia lounge kule ndani, afu natuliaa kushangaa walevii, maana situmii kinywaji mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
napenda sana misosi ya krista park,,, au kule chini karibu na songea girls wanapaita wabeja ni 🔥🔥
 
Back
Top Bottom