Karibuni Songea

Karibuni Songea

Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.

Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.

Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe

Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)

Karibuni Songea

Jana nilikuwa matalawe na bombii nyumbiii. Leo niko lizbon. Jioni nitasogea hapo lachaz. Ntakutafuta.
 
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.

Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.

Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe

Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)

Karibuni Songea
Kama upo Mshangano naomba umsalimie mzee wangu anaitwa MCHALINZE
 
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.

Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.

Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe

Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)

Karibuni Songea
Ukagonga panya buku. Hata wakameruni wanagonga hiyo kitu ya pori
 
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.

Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.

Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe

Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)

Karibuni Songea
Achana na La Chalz, kiwanja kinachobamba siku za hivi karibuni ni Chanta BuL hapo bomba mbili, njiani kabisaaa.
 
Kigonsera haipo Songea ipo Wilaya ya Mbinga.
No matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.

Disko Mbicu hotel nikiwa nimetupia form six kubwa na suruali ya kubana chini nikiwa nimevalia raba kali mkononi nina pakti ya reds nainyonya na hiyo ni baada ya kula pilau la kutosha home.

Route za studio PS records na mwanangu wa faida kwenda kurekodi.

Wapi Komba Dae, Kusile, Andoya, Mdaka Five ila kwa sasa nasikia kuna matajiri wengine it's been a while

Ruhuwiko, Matalawe, FurahaStore, Mbuyula, Kiwandani, Jimboni, Misheni, Mbinga Day, Mbambi, Makita.

Yote kwa Yote lile Baridi na Udongo mwekundu litanifanya niendelee kuwa Diaspora.
 
Mkuu wewe endelea kudiasporika huko abroad sisi tupo na tunawatumikia huku ndugu zako Wamatengo na maisha yanaendelea.

Mdaka 5 kwasasa ndie Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbinga, Vijana wa kiume wawili wa Andoya ni madiwani wa CCM Halmashauri ya Mji wa Mbinga.

Na kwasasa kuna Halmashauri 2, Mbinga Mji na Mbinga Wilaya (Vijijini) ambayo iko located Kata ya Kigonsera.
 
No matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.

Disko Mbicu hotel nikiwa nimetupia form six kubwa na suruali ya kubana chini nikiwa nimevalia raba kali mkononi nina pakti ya reds nainyonya na hiyo ni baada ya kula pilau la kutosha home.

Route za studio PS records na mwanangu wa faida kwenda kurekodi.

Wapi Komba Dae, Kusile, Andoya, Mdaka Five ila kwa sasa nasikia kuna matajiri wengine it's been a while

Ruhuwiko, Matalawe, FurahaStore, Mbuyula, Kiwandani, Jimboni, Misheni, Mbinga Day, Mbambi, Makita.

Yote kwa Yote lile Baridi na Udongo mwekundu litanifanya niendelee kuwa Diaspora.
Umesahau kwa tajiri Bafreyi
 
Back
Top Bottom