Karibuni Songea

Karibuni Songea

Nina rafiki yangu mmoja wa kike nili kutana nae Twitter anaitwa Dorothy ana ishi SONGEA sehemu inaitwa MPITIMBI.

Aliwahi kuniambia SONGEA ni wakulima hodari wana lima sana mahindi kama una mtaji una weza kuwekeza kwenye kilimo SONGEA, hatimaye kupata matokeo chanya.
Ndiyo ni ukweli.kabisaa
 
Nakosajeee mlongo halisiii, nisiwepo ndani ya uzi??
, kumbe JF watu wa songea wako wengi mnoo.

Wapo wengi mno, unakuja lini majuzi nilipita songea nilienda namtumbo msibani kuna kijiji kinaitwa suluti


Halalafu dagaa wabichi wapo tele,,,,,,,,,
 
Ni

Pas p bado anarekodi hapo PS records, nilitembelea hapo nikakuta nyimbo zake zinabamba nikamchukue nikampleka DSM studio nzuri akafanya single na bibi Yule aliyekuwa tmk nimemsahau jina somebody bb Cheka single haijafanyiwa mixing dogo kashairusha you tube, radio za kusini zimeanza kuipiga dogo kaenda mpakani huko sifuri d anafanya, niliwachukua watatu mmoja makambako anaitwa b2k mwingine Kaiser niliwapeleka studio nzuri AM records, Man selekta, na kwa good luck gozbett but unlikely akili zao zilikua bado hazijafunguka kuiona bright future niliyokuwa najaribu kuwatengenezea.
Huyo Pas P aliacha shule kidato cha 3 ili awe msanii mkubwa
 
Back
Top Bottom