Karibuni Songea

Karibuni Songea

No matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.

Disko Mbicu hotel nikiwa nimetupia form six kubwa na suruali ya kubana chini nikiwa nimevalia raba kali mkononi nina pakti ya reds nainyonya na hiyo ni baada ya kula pilau la kutosha home.

Route za studio PS records na mwanangu wa faida kwenda kurekodi.

Wapi Komba Dae, Kusile, Andoya, Mdaka Five ila kwa sasa nasikia kuna matajiri wengine it's been a while

Ruhuwiko, Matalawe, FurahaStore, Mbuyula, Kiwandani, Jimboni, Misheni, Mbinga Day, Mbambi, Makita.

Yote kwa Yote lile Baridi na Udongo mwekundu litanifanya niendelee kuwa Diaspora.
Andoya kashakufaga,kusile kashakufaga kitambo,,komba yupogo.
 
Back
Top Bottom