Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,791
Songea pana wachumba flan iv aisee
Ukimkuta mwenye urefu zaidi ya Ndoo basi umshukuru MunguVp mademu wanajua sana ule mchezo wa kitandani au kama ndugu zangu wapare tu
Songea pana wachumba flan iv aisee
Ukimkuta mwenye urefu zaidi ya Ndoo basi umshukuru MunguVp mademu wanajua sana ule mchezo wa kitandani au kama ndugu zangu wapare tu
Daaaah,Ukimkuta mwenye urefu zaidi ya Ndoo basi umshukuru Mungu
Wafupi mno
Kama mbawala hakuwa na akina mapunda basi utakuwa ulilishwa nyama yake
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Karibuuzi mzuri
Kama unakamata mbuzi katoliki **** Chimbo hapo lizaboni kwa makukura ni hatari tupu,halafu piga mitaa ya kosovo mtini pub,newstar,la haz mambo ni bam bam.Hio sehemu maarufu kwa misosi hasa Kuku pana mipaka mikubwa Ila wangoni ni nyoko, nimesahau jina ndio sehemu maarufu hapo songea, Delux ni nyoko
Nakubali mkuu, kumbe mitaa unaimanya vizuriKama unakamata mbuzi katoliki **** Chimbo hapo lizaboni kwa makukura ni hatari tupu,halafu piga mitaa ya kosovo mtini pub,newstar,la haz mambo ni bam bam.
Ni Nyoni au Nyani?
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
NyoniNi Nyoni au Nyani?
Msamala Miembeni kwa Saibogi, kitimotoo safiiiiiKama unakamata mbuzi katoliki **** Chimbo hapo lizaboni kwa makukura ni hatari tupu,halafu piga mitaa ya kosovo mtini pub,newstar,la haz mambo ni bam bam.

kipindi cha kiangazi kama ni mtu wa peku peku funza unao.
Ila kitimoto ya songea ni tamu balaa unakula nyama unasikia harufu ya nguruwe, sio dar unakula nyama uku unasikia harufu ya panadol