Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,761
- 3,445
- Thread starter
- #221
Mkuu jana jioni nilikuwa pande hizo nikastua mbuzi kidogo. Nimeona nyumba za barabarani zimebomolewa na mipango mijiKaribu lizaboni NYAMA za mbuzi, nipo hapa nakula mishikaki mida hii.