Karibuni Songea

Karibuni Songea

Jamani kama kuna mwenye nyimbo za kingoni zile za lizombe atupie basi
Yaani mwenye Mwanne mkota kunionollea wivu mkae na kujua daaah nimeisahaaau kdg
 
Niliishi jirani na S/m Misufini. Zaidi ya miaka 10 niliishi Songea.

Buhemba (ndani ya shimo)ilikuwa ya moto sana.Pia majimaji na Deluxe, Ndiyo yalikuwa maeneo ya kujidai.

Hadi naondoka msanii maarafu alikuwa Zed M, Salatoga na Pablo killer. Sijajua muendelezo wao.

Nimekumbuka Pitiku na Mdojolela. Daah!
Disco lingine lilikua mahenge kule la jeshi linaitwa Mess
 
Hivi kutoka Masasi mpaka Songea ni masaa mangapi? kuna lami kote?
 
Jamani kama kuna mwenye nyimbo za kingoni zile za lizombe atupie basi
Yaani mwenye Mwanne mkota kunionollea wivu mkae na kujua daaah nimeisahaaau kdg
Dah umenikumbusha mbali sana!! . Kuna ile nyingine sijui kaimba nani inaitwa kabodoma, anaimba "oooh iiiyee kabodomaaa.....iiiyee kabodomaaa.... Bila kusahau" punyanga " kutoka kule namabengo, plus Libemato sijui ya wapi hii
 
Naona ukija safari hii hunt club patakoma. Sijawahi kuingia ila nasikia pazuri watu wana swimm tu kwenye pool
Yeaaah ni pazuri mnooo, mie napenda kulala kwenye zile beds zilizo pembezon mwa swimming pool.

Kuogeleaa sipendi sanaa.
 
Cocastic ntafutie dd mmoja anaitwa Veronika Komba yuko Hapo town alimaliza Mkawa Complex 2005 HGL
Veronica Komba yupii? Maana mie naemjua ni mwalimu wa sec,
Ila shule alizosoma sifahamu, kwa sasa anafundisha Siri secondary iko likuyufusi.
 
Jamani kama kuna mwenye nyimbo za kingoni zile za lizombe atupie basi
Yaani mwenye Mwanne mkota kunionollea wivu mkae na kujua daaah nimeisahaaau kdg
nilikua nazo ila memory card ilipotea.

Si ingia YouTube utapata.
 
Back
Top Bottom