Karibuni MUCE

Karibuni MUCE

ASSISANT

Member
Joined
May 6, 2015
Posts
37
Reaction score
17
Mliochaguliwa MUCE karibuni sana.

Tunajivunia hali ya hewa nzuri sana kwa masomo, mazingira tulivu, walimu wenye kujituma, library nzuri na mengineyo. Hakika hutajuta kuchaguliwa Mkwawa.

Mpaka sasa kama hujajua admissions za Mkwawa nenda kwenye website ya UDSM mlimani www.udsm.ac.tz utakuta admissions zote za Mkwawa, DUCE na Mlimani yenyewe.

Enjoy your day!
 
Nimesoma Hapo Mkwawa Ikiwa St George And Michael Na Nikasoma Chuo Kikuu Pia.Maji Masaa 24,nilibahatika Kukaa Hostel Miaka3.Watu Wanasoma Pale Kama Ugomvi
 
Ha ha ha muce bhana nilisomaga hapo ila mijitu inasomea sifa hapo
 
Hapa msuli tuu, kama unataka mademu wazuri nenda Iringa University (zamani Tumaini), au Rucu
 
Hali ya hewa ikoje na vp kuhusu mabweni? mwenye ufaham wakutosha naomba afunguke tafadhali
 
Uje Na Sweta Ama Jaketi Na Blanket,hali Ya Hewa Huku Ni Kama Kule Ukraine Ama London.
 
Wakuu msaada tafadhali aliyedownload majina ya MUCE naomba amuangalizie s3688/0099/2012
 
Mliochaguliwa MUCE karibuni sana.

Tunajivunia hali ya hewa nzuri sana kwa masomo, mazingira tulivu, walimu wenye kujituma, library nzuri na mengineyo. Hakika hutajuta kuchaguliwa Mkwawa.

Mpaka sasa kama hujajua admissions za Mkwawa nenda kwenye website ya UDSM mlimani www.udsm.ac.tz utakuta admissions zote za Mkwawa, DUCE na Mlimani yenyewe.

Enjoy your day!

pamoja sana! nimechaguliwa hapo mkuu!
 
Back
Top Bottom