asante sana, sasa hapa umeteguwa kitendawili kwahiyo tunafahamu vyema sasa kwamba upo hapa jf kwa malipo maalum!! Ila sidhani kama kuna chama kinachoweza kukulipa ujila wako zaidi ya ccm.
hatimaye leo umefunguka kwamba upo kimaslahi zaidi. Ingekuwa vema useme pia na bei yako ff. Hii ni kweli kabisa, kwani siku zote hata ambapo ukweli uko wazi wewe mwenzenu hauko tayari kuona hasa inapogusa ccm.