Karibuni Kwenye Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere-Jumapili 14 Oktoba-Nkrumah

Kitila Mkumbo

Ahsante sana mkuu. LKN NAONA MAJINA YOTE YWA WAZUNGUMZAJI WA YA DINI MOJA YAANI WAKIRISTO, WAKATI MWALIMU NYERERE ALIPINGA UDINI HAPA NCHINI. JEE KWELI TUNAENZI KUMBUKUMBU ZAKE AU TUNAMKEJELI TU.
 
Unaongopa mchana kweupe. Chuki zako kwa Mwalimu zinakuondolea hata ile busara ya kawaida kabisa.
 
Peleka, hayo ni maoni yako! muhimu kwangu mimi sasa hivi hapa ni kuwa nina hoja nzito ya kufutwa kwa hii Nyerere Day.
 
Dk. Mkumbo, naamini wazungumzaji wangalikuwa wa dini zote kuu mbili, kweli tungalikuwa tunamuenzi mwalimu. Lkn kualika watu wa dini moja kama wazungumzaji inatia doa dhana nzima ya Kumuenzi mwalimu Nyerere huko Nkurumah.
 
Haya ni majina tu. UKRISTO wenyewe wanauweza basi! Ukristo na Uislaam kazi ngumu sana. Wengi tumebaki majina tu kwa ajili ya utambulisho. Dunia ya leo kumkuta Mkristo au Muislaam wa kweli ni nadra sana.
 
Haya ni majina tu. UKRISTO wenyewe wanauweza basi! Ukristo na Uislaam kazi ngumu sana. Wengi tumebaki majina tu kwa ajili ya utambulisho. Dunia ya leo kumkuta Mkristo au Muislaam wa kweli ni nadra sana.

hahaha. mkuu, unawajua wakiapa tu. Jery slaa aliapa kwa biblia. deus Kibamba nukuu zake zote hutumia Biblia. Nadhani hapa pamechemkwa. ni vizuri kuwashirikisha watu wa dini zote kama kweli tuna nia ya dhati ya Kumuenzi mwalimu nyerere
Sio majina kama haya ukasema mtz wa leo hayajui ya dini gani
1. Ndugu Deus Kibamba
2. Mheshimiwa Jerry Silaa
3. Ndugu Esther Wasira
4. Dk Vincesia Shule
 
Kitila Mkumbo

Ahsante sana mkuu. LKN NAONA MAJINA YOTE YWA WAZUNGUMZAJI WA YA DINI MOJA YAANI WAKIRISTO, WAKATI MWALIMU NYERERE ALIPINGA UDINI HAPA NCHINI. JEE KWELI TUNAENZI KUMBUKUMBU ZAKE AU TUNAMKEJELI TU
Huu udini sasa balaa yaani hata watoa mada tuangalie dini zao.?
 
Last edited by a moderator:
kivipi?Mbona Watanzania nao ndio hao wenye hizo dini? au hili nalo utalikana?Peleka, hayo ni maoni yako! muhimu kwangu mimi sasa hivi hapa ni kuwa nina hoja nzito ya kufutwa kwa hii Nyerere Day!
Mwalimu kaifanyia NCHI hii mambo mengi tu ambayo yanatugusa sote kwa kila namna. Ukiondoa chuki binafsi ubongo wako utafunguka, utayaona mengi sana. Kama umesoma UDSM utamkumbuka Mwalimu; Kama umetibiwa Muhimbili utamkumbuka Mwalimu; Kama umeishi kwa AMANI nchi hii utamkumbuka Mwalimu; Tanzania haikuwepo kabla ya Mwalimu;.....

Hizi DINI tumeletewa tu. Zimetugawa sana. Hazitufai kama TAIFA. Mungu mwenyewe hana DINI.

Iondoeni Nyerere Day. Yeye mwenyewe hakuitaka. Namna inavyoenziwa ni kejeli na dhihaka tupu. Mwalimu ni zaidi ya siku hii kwa tuliomfahamu kidogo.
 
Mwalimu kaifanyia NCHI hii mambo mengi tu ambayo yanatugusa sote kwa kila namna. Ukiondoa chuki binafsi ubongo wako utafunguka, utayaona mengi sana. Kama umesoma UDSM utamkumbuka Mwalimu; Kama umetibiwa Muhimbili utamkumbuka Mwalimu; Kama umeishi kwa AMANI nchi hii utamkumbuka Mwalimu;Tanzania haikuwepo kabla ya Mwalimu;.....
Sawa tusubiri Wazanzibar wajitoe tuone kama kutabakia hiyo Tanzania ya Nyerere.
 
hahaha. mkuu, unawajua wakiapa tu. Jery slaa aliapa kwa biblia. deus Kibamba nukuu zake zote hutumia Biblia. Nadhani hapa pamechemkwa. ni vizuri kuwashirikisha watu wa dini zote kama kweli tuna nia ya dhati ya Kumuenzi mwalimu nyerere
Sio majina kama haya ukasema mtz wa leo hayajui ya dini gani
1. Ndugu Deus Kibamba
2. Mheshimiwa Jerry Silaa
3. Ndugu Esther Wasira
4. Dk Vincesia Shule
Hapa watu hawaendi kwa DINI zao. Wala hatuendi kujadili UKRISTO wa Mwalimu. Wahudhuriaji wa hafla hii hawatarajii kufahamu dini ya mtu hapa.
 
Hiyo ridhaa ya wananchi wote ilipatikanaje, kwa kura ya maoni? Mimi nisie Mkristo wala Mwislamu zinanigharimu kwa nini? Mwalimu kayagusa moja kwa moja maisha ya WATANZANIA wengi tangu mwaka 1954 hadi 1999. Tusimuenzi kweli?

Wilcard. Hoja ni kwamba unaalikwa kuhudhuria kongamano ambalo context ni vijana na jinsi ya kumwenzi Nyerere. Sasa unapoanza kuchanganya na sikukuu za kiroho kwa wale wenye imani zao mimi naona unakosea. Na kukosea kidogo.Huku ni kukosea sana. Spiritual issues must be analysed in spiritual or theological context short of that ni kuwachanganya watu akili bila sababu. Na hili linahitaji uzi wake
 
Ok. Lakini ilikuwa busara sio kuchukua watu wa dini moja tu. Nyerere hakuwa mbaguzi wa dini. Lkn hili kongamano naona limeanza kwa ubaguzi.
 
Sawa tusubiri Wazanzibar wajitoe tuone kama kutabakia hiyo Tanzania ya Nyerere.
Kwani sasa hivi Zanzibar haipo? Nikuhakikishie jambo moja: Hata Muungano ukivunjika leo, Tanzania itabaki. Hatuwezi kurudi kuitwa TANGANYIKA. Asilimia kubwa ya watu wetu ni WATANZANIA. Wamebaki akina Kingunge, Wassira, Jakaya, Lowasa,...., ndio waliozaliwa Watanganyika.
 
kwani sasa hivi zanzibar haipo? Nikuhakikishie jambo moja: Hata muungano ukivunjika leo, tanzania itabaki. Hatuwezi kurudi kuitwa tanganyika. Asilimia kubwa ya watu wetu ni watanzania. Wamebaki akina kingunge, wassira, jakaya, lowasa,...., ndio waliozaliwa watanganyika.

hahaha. Nikisoma kitabu cha mwembechai kiling. Naona siku ya 14/10 ni siku ya idi kwangu
 
Bigaraone,
Haikuwa nia yangu kuiingiza comment hii hapa isipokuwa sideeq alipoanza kuhoji uhalali wa Nyerere Day. Ndipo nikatoa mfano wa sikukuu hizi ambazo kimsingi hazituhusu WATANZANIA wote. Niombe radhi kwako na wengine niliowakwaza. Kwangu mimi DINI ni tatizo kubwa nchi hii.
 
Kwani sasa hivi Zanzibar haipo? Nikuhakikishie jambo moja: Hata Muungano ukivunjika leo, Tanzania itabaki. Hatuwezi kurudi kuitwa TANGANYIKA. Asilimia kubwa ya watu wetu ni WATANZANIA. Wamebaki akina Kingunge, Wassira, Jakaya, Lowasa,...., ndio waliozaliwa Watanganyika.
mkuu tanganyika lazima irudi ...Tanzania ina chembechembe za Zanzibar
 
Back
Top Bottom