Hili swal majibu yake vip?
Habari Mr Aymatu.
Awali ya yote nikuombe radhi kwa usumbufu ulioupata kwa kusubiri kwa muda mrefu.
Lakini lapili nikushukuru kwa kunikumbusha nakuendelea kunifuatilia.
Kwani safari ya huu Uzi ilipoanza tulikua pamoja Na mpaka hivi tuko pamoja
Hivyo basi, Mimi pamoja Na mawazo au mihemko yangu inayonisukuma kujibu maswali mbalimbali, Tunatoa shukurani kubwa kwako kwa ustamilivu wako.
Ama baada ya hayo niende kwenye swali lamsingi Na ningependa nijibu kwa lugha rahisi ili iwe pia faida kwa wengi.
Shahawa(Semen)hutengenezwa tofauti kabisa Na Mbegu.
1 Mbegu za kiume(Sperm) hutengenezwa kwenye Seminiferous tubules.
2 Shahawa (Semin) hutengenezwa kwenye Seminal visicle. Hivyo basi inabidi mbegu (Sperm) zisafiri kwenye mirija maalum (Epidydimis) hadi ziende kujichanganya Na shahawa (Semin) ndipo ziogelee humo.
Sasa basi Mbegu zikiwa zimefanikiwa kutoka kwenye Seminiferous tubules Na kwenda kwenye Seminal visicle.
Hapo shahawa zitaweza kua nzito Na hata rangi itabadirika Na kua nyeupe yenye muonekano kama Grey hivi.na matokeo ni kutungisha mimba.ikiwa kama tendo limefanyika na mmama ama mdada yupo katika Ovulation day.
Kwa hiyo pindi unapo jamiana Na mwanamke shahawa hutoka kwa njia ya (Ejaculation) huingia ukeni huku Mbegu zikiwa zinaogelea ndani yake.
Sasa kama mirija ya Epidydimis itakua imeziba ni kwamba Mbegu zitashindwa kwenda kwenye Seminal visicle.
Matokeo ya hapo yatakua hivi.Utapokua unajamiiana na mwanamke, shahawa(Semin)Zitawahi kukusanyika kwa haraka na
Ijaculation( kukojoa) itawahi sana.Kwa maana shahawa zitakua nyepesi, na ule muonekano wa kama Grey hautokuwepo na Mbegu ndani yake kutakua hamna.
Jingine ni kwamba kama mirija ya Epidydimis itakua imekonda, Mbegu zitasafiri kwa shida ili kufikia kwenye Seminal visicle.
Hali hiyo huzifanya Mbegu kupungua na kua chache katika safari ya kuelekea kwenye Seminal visicle, na zile zilizokua zimebaki. Zitakua zimejeruhiwa kutokana na kukonda kwa mrija huo.
Na katika kujeruhiwa huko kuna zingine hua zimekatika vichwa na zingine mikia.na zingine vichwa na mkia
Na kwa zile Mbegu ambazo hazito katika vichwa wala mikia kwa maana zina sehemu zote tatu kichwa mwili na mkia basi zitakua dhaifu, ila zote kwanzia zilizokatika vichwa na mikia na ambazo dhaifu zote zitafanikiwa kufika kwenye Seminal Visicle.
Matokeo ya hapo yatakua hivi.Ejaculation(kukojoa) hakuto wahi sana itakua ni kama kawaida hivi, kwanza shahawa hazitokua na tishio lolote lililo baya
1 Shahawa zitakua nzito kama kawaida na Rangi itakua nyeupe yenye kuelekea Grey ambayo ni ya kawaida.
2 Mbegu ndani ya shahawa zitakuwemo ila kutakua na makundi mawili ya Mbegu.
A kundi hili ni kundi la kwanza Ambalo Mbegu zake zinavichwa mwili na mkia ila nidhaifu.
B Kundi hili ni kundi la pili ambalo Mbegu zake zimekatika vichwa.na zingine zimekatika mikia.
Kwa ujumla makundi yote mawili hayana uwezo wa kutungisha mimba ingawa Muonekano wa shahawa na Rangi yake vinaonekana viko sawa
Mbegu Zile ambazo zilizokatika vichwa kwa kujeruhiwa njiani zikielekea kwenye Seminal visicle kutokana na kukonda mrija wa Epidydimis.
Hizo pindi Ejaculation itapokamilika hazitokua na uwezo wa kuogelea kabisa na kusonga mbele.
Lakini zile za pili zenye vichwa na mwili ila hazina mikia.
Ni kwamba zenyewe zitakua na uwezo wa kuogelea kusonga mbele ila hazitolifikia yai, kwani Na zenyewe hukatika vichwa muda mfupi baadae zikiwa safarini kulifuata yai
Lakini pia zile zenye vichwa mwili na mikia ila ni dhaifu zenyewe hua za mwisho kufa kwani zenyewe hujitahidi sana na hata kulifikia yai kabisa ila kwa bahati mbaya pale zinapokua katika hatua ya kupenya ndani ya yai nazo hukatika vichwa.
Na hiyo yote ni kwa sababu ya kujeruhiwa kutokana na wembamba wa mirija ya Epidydimis.
Kwa hiyo nivigumu kujua kama Mbegu nyeupe na nzito ndizo zenye uwezo wa kutungisha mimba kwa kuzitazama kwa macho. Ni vema kufanya uchunguzi wa afya ya uzazi.
Kwa kawaida Mbegu inatakiwa ionekane hivi wakati wa uchunguzi
1 kichwa
2 mwili
3 Mkia
Kama Mbegu ikiwa hivi basi wewe itakua na uwezo mkubwa wa kutungisha mimba
Na kiukweli matatizo huanzia hapa unakuta kuna mtu yeye Sperm zake zina kua ni vichwatu.
Mwingine Zinakua na mwilitu.
Mwingine Zinakua na mkiatu.
Mwingine mwili na mkiatu
Mwingine kichwa na mwilitu.
Ndugu Aymatu nimatumaini yangu umeelewa Karibu tena.