airwing
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 425
- 595
Hbar kiongz? Mungu akubarki sana! Kwanz kwa karne Kama hii kupata mtu kama ww ni ngumu!! Ww ni MAKONDA B ... Mm naitwa Raymond ninaishi Gmboto, ilala ,dar..
Nilikuwa na mambo kama mawili hivi au matatu unisaidie;
1. BIMA YA AFYA.
Nimejarb kufatilia google na kwa baadhi ya watu lkn bado wanashndwa kunipa majibu sahihi ya maswali yangu, kiufp nilitaka kujua faida za bima ya afya, (ii) Hipi nzuri hisiyozidi 150,000 kwa mwaka?
2. Nilitaka kujua kuhusiana na ULTRA SOUND na inafanyje kazi?
3. Nasumbuliwa na allegy zifuatazo
Food colour
Dust
Plastic material
Pollens za maua
Nyasi
Heat (Joto Kali)
Vitu vya baridi
Samaki
Mayai
Alluminium
Vitu vya shaba...
MATOKEO
1. Nawashwa sana nikimaliza Kuoga.
2.Maumivu ya kifua yaani vichomi
3. Moyo kuuma sana kama unavilia hasa wakati wa usiku..
4.Muwasho mtamu wakat wa usiku.. Je, nimatokeo ya hizo allegy?
3. Nilipima kama ninatatizo kwny Moyo kwa kipimo cha kutoa damu kwny mshipa.. Je, kuna kipimo kama hicho au nilitapeliwa?
Whatsup 0657 230355.. Mungu akubariki