Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Kama kichwa kinavyosema hapo nakaribisha maswali yanayo husu afya
.....Mm nasumbuliwa na kichwa sehemu za nyusi za macho kmekuwa kikiniuma sna..... Na niwaka wa ratu hadi as kinanisumbua...
 
Kama hautojali naomba kujua unashurika na nini na mazingira ya kazi yako
 
Ni operator wa mitambo
Kama hakuna dalili nyingine hicho ndicho kitakua kisababishi cha tatizo lako mkuu ingawa sijajua ni mitambo aina gani lakini ni nakushauri uwe unavaa vizuizi vya kupunguza sauti na hata mwanga nyakati za kazi.
 
Hapo penye hofu tumboni ndugu flulanga pamenichanganya kidogo lakini kama nikuelewa vile! Hofu tumboni hiyo ni dalili ya vidonda vya tumbo Lakini hili la masundosundo(Genital warts) au kwa lugha nyingine vigwaru. Huu ni ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri au sehemu laini ni ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya kujamiiana sexually transimitted in fection(STI)ugonjwa huu unaweza kutoka sehemu yoyote katika sehemu za siri iwe kwenye uume uke mrija wa mkojo(urethra)au sehemu ya haja kubwa shingo ya kizazi (cevix)au maeneo ya shamba la wakubwa ugonjwa huu husababishwa na Virusi wajulikanao kitaalam kama HUMAN PAPILLOMA VIRUS (HPV) Virusi hivi viko Vingi sana zaidi ya aina 70 lakini si wote wanaosababisha masundosundo. ndugu ugonjwa huu unaweza ukawanao na usijue lakini ikawa unaendelea kuwaambukiza wapenzi/ mpezi zako ugonjwa huu hujitokeza na kuonesha dalili pale kinga yako inapokua imetikisika lakini kama mfumo wa kinga yako hauja uvuruga unaweza Sena umepona kumbe ugonjwa umewekwa chini ya ulinzi Sasa pale walinzi hao wanapo kwenda kukabiliana na adui wengine Virusi hivyo vinakua huru na kuanza kuonyesha vidubwasha hivyo kwa Maelezo yako ulioeleza hapa nashauri ukapime maana utakua unamwambukiza unaempenda bila sababu na tatizo hili kwa wana wake ni baya zaidi
Sawa mkuu nimekupata naninashukuru kwamaelezo yako mazuri nakingine nachotaka unisaidie kwaushauri zaidi hivi karibu nimekuwa sijisikii kufanya sex nahata nikijitahidi nitaenda mshindo mmoja nanikitaka kurudia nashindwa nahata nikijitahidi kusimamisha basi nitasimamisha ila nikimwingilia mwanamke naishia njiani yaani uume unalala kabla hata sijamaliza swali je hili tatizo katika hospital zetu zauma nawezaje kupata msaada au je naweza kumweleza daktari wakawaida anayenitibugi maradhi yakawaida kama maleria vile au panakuwa nadaktari wake special nawewe kwainshu kama hii yangu unaweza nishauri nini

NB: mazoezi nafanya kama vile kukimbia navilevile me sio mpenz wapicha zaex nawala sijawahi kujichua
 
Nashukuru kuwahi hapo chini kueleza kua sio mpenzi wa swala kama hilo na hujawahi kujichua.ngoja nimjibu alioko mbele yangu hapa kisha nitarudi kwako
 
Mkuu mimi Nna tatizo la kukooa sana,,inapotokea nimevuta harufu ya vitu vikali mfano ,nguo zinapochomwa,,harufu ya petrol,sigara, ,nguo mpya,,huwa nakooa unaweza ukadhani Nna ngoma, ,wakati nipo fiti vibaya mno hadi najiogopa ,, Nn tatizo na dawa ipi nitumie mkuu? Hapa yenyewe nimeandika haraka haraka nimepaliwa na harufu ya pafume niliyojipulizia
 
Dokta niliulizwa swali humu i thnk kwny page ya pili, " Nasumbuliwa na Allergies" nadhani umenikumbk"" sasa nilienda kupima hosptal nikaonekana tena Nina fangasi kwenye Damu? Nilitaka kujua ao fangasi wanaingiaje? Madhara yake? Na namna ya kuwaepuka?
 
Sawa kaka
Mkuu ziko sababu nyingi sana juu ya hali ya kufeli wakati wa kutekeleza majukumu ya kindoa na hili swala takriban linawahusu wanaume wengi sana mkuu.na hapa wanaume wengi walikua wanasubiri mmoja aanzishe kuuliza jambo hili ili yapatikane maandishi haya.

Kwa ujumla uume ni ogani muhimu na haifanyikazi peke yake.Pale unapoona uume umesimama kuna mambo mengi yalio sababisha uume usimame lakini mtaji mkubwa ni afya yamtu kwanza, baada ya afya ndio yanafata haya.

1 mfumo wa umeme wako mwilini unatakiwa uwe nolmol ili kuhakikisha umeme unakua na nguvu ya kuiendesha mitambo zinazo drive uume Kuna vitu vinavyoitwa mg A.T.P Adinosine Triphosphate na mg G.T.P Guanosine Triphosphate hizo zote aina mbili ni Betri ambazo ziko mwilini Betri hizo kazi yake kubwa ni kutunza umeme ambao unazalishwa kutoka sehemu mbalimbali ya vyanzo vya umeme mwilini Umeme huu ni umeme wa akiba pale wewe unapokua umelala usingizini kuna kitu kinachoitwa Cation pamp (au unaweza kuita inverter)hizo ni pamp ambazo kazi yake ni kuzichaji Betri na kazi ya pili ni kupelekea umeme unapoitajika.

Kitendo hiki cha mtu kulala na kuamkatena hiyo ni kazi ya hizo pamp Pale wewe umelala ubongo ukatambua kua unaweza kulala moja kwa moja(kufa) ubongo hutoa taarifa kwa hizo pamp na pamp hizo haraka huchukua umeme ulio kua umehifadhiwa kwenye Betri kuupeleka kwenye ogani inayoitwa sinusnude na hii sinus haraka inaamsha upya mapigo ya moyo. ndio utakuta Mtu unaweza kuamka tena kwa mfano kuna wale wanaota usingizini wanavamiwa na kitu Fulani anataka kuinua mkono hawezi mdomo hawezi kupiga kele miguu hawezi kuinuka atahangaika hapo mpaka sinas ikamilishe umeme wa kutengeneza mapigo ya moyo na hapo hua shida iko kwenye Betri kutokua na umeme wa kutosha, hivyo kama MTU hutokewa na hali hiyo Mara kwa Mara basi chukua hatua mapema.

Kwa upande wa sex hapo kinachoitajika mdawote ni umeme wenye volteji normol kwanzia maandalizi (Romance) hadi kukutana kimwili (intercoerce) ikatokea kua uume umefeli katikati ya tendo basi Betri zako sio nzuri hapo humaanisha Damu haifiki vizuri kwenye mishipa inayouinua uume, kama mwanzoni unapoanza unasex vizuri hadi unafika mwisho, kurudia inafeli tatizo lako ni kwamba haufanyii service uume wako kwa maana ndani ya mishipa kumeziba hivyo pressure nyepesi haitoweza kupenyezesha damu ndani ya mishipa inayozunguuka uume, kama wewe uume wako hausimami kabisa kutoka mwanzoni kwenye maandalizi na haujawahi kupata ajali yoyote ile basi wewe shida yako iko kwenye ubongo na mishipa hiyo.

Sasa hapo ili kumsaidia inabidi kupata historia walau kidogo.Ila kwa wewe muuliza swali shida yako iko kwenye service ya uume inaonyesha wewe huutumia tu uume wako bila kuufanyia mainternens Kua na desturi ya kufanya service katika uume.

Mbona magari tunayoyanunua navkuyatumia kila siku hua tunayafanyia service na kwakutumia gharama? Inakuaje tushindwe kufanya service uume zetu na ni buree?
Sawa kaka

Sawa kaka
 
Nimetokwa na vipele vya joto maeneo ya shingoni.....vinachoma sana,naomba msaada wa aina gani ya dawa nitumie ili viishe kabisa
 
Mkuu mimi Nna tatizo la kukooa sana,,inapotokea nimevuta harufu ya vitu vikali mfano ,nguo zinapochomwa,,harufu ya petrol,sigara, ,nguo mpya,,huwa nakooa unaweza ukadhani Nna ngoma, ,wakati nipo fiti vibaya mno hadi najiogopa ,, Nn tatizo na dawa ipi nitumie mkuu? Hapa yenyewe nimeandika haraka haraka nimepaliwa na harufu ya pafume niliyojipulizia
Mkuu huo ni mjibizano kati ya kinga yako ya mwili na harufu au moshi ilioufikia mwili wako (allerge) na allerge sio jambo geni sana katika wewe unatokewa hivyo kuna mwingine yeye huvimba
 
Dokta niliulizwa swali humu i thnk kwny page ya pili, " Nasumbuliwa na Allergies" nadhani umenikumbk"" sasa nilienda kupima hosptal nikaonekana tena Nina fangasi kwenye Damu? Nilitaka kujua ao fangasi wanaingiaje? Madhara yake? Na namna ya kuwaepuka?
Nimekukumbuka bwana airwing. Ndugu fangasi au ukungu sio ugonjwa Bali ni ishara ya kua unatatizo ambalo limetia ukungu damu yako hadi imefikia kuanza kuharibu ngozi ya mwili na kuleta pengine kujikuna nakushauri nenda kapime magonjwa mengine pasipokumweleza Daktari wako kua ninawashwa,ama kumuonyesha sehemu zilizo dhihirisha huo ukungu Mwambie nimekuja kutazama afya yangu.Pakuanzia Pima V.D.R.L kisha utakuja tena tushauriane
 
Mkuu huo ni mjibizano kati ya kinga yako ya mwili na harufu au moshi ilioufikia mwili wako (allerge) na allerge sio jambo geni sana katika wewe unatokewa hivyo kuna mwingine yeye huvimba
Asante,, Ni mtihani kwakweli
 
Tatizo langu ni kupata choo kilichochanganyika na damu, halafu pia njia nayo inakua inauma. Hali hii inanipo uwoga sana.
 
Mkuu ziko sababu nyingi sana juu ya hali ya kufeli wakati wa kutekeleza majukumu ya kindoa na hili swala takriban linawahusu wanaume wengi sana mkuu.na hapa wanaume wengi walikua wanasubiri mmoja aanzishe kuuliza jambo hili ili yapatikane maandishi haya.Kwa ujumla uume ni ogani muhimu na haifanyikazi peke yake.Pale unapoona uume umesimama kuna mambo mengi yalio sababisha uume usimame lakini mtaji mkubwa ni afya yamtu kwanza, baada ya afya ndio yanafata haya.1 mfumo wa umeme wako mwilini unatakiwa uwe nolmol ili kuhakikisha umeme unakua na nguvu ya kuiendesha mitambo zinazo drive uume Kuna vitu vinavyoitwa mg A.T.P Adinosine Triphosphate na mg G.T.P Guanosine Triphosphate hizo zote aina mbili ni Betri ambazo ziko mwilini Betri hizo kazi yake kubwa ni kutunza umeme ambao unazalishwa kutoka sehemu mbalimbali ya vyanzo vya umeme mwilini Umeme huu ni umeme wa akiba pale wewe unapokua umelala usingizini kuna kitu kinachoitwa Cation pamp (au unaweza kuita inverter)hizo ni pamp ambazo kazi yake ni kuzichaji Betri na kazi ya pili ni kupelekea umeme unapoitajika.kitendo hiki cha mtu kulala na kuamkatena hiyo ni kazi ya hizo pamp Pale wewe umelala ubongo ukatambua kua unaweza kulala moja kwa moja(kufa) ubongo hutoa taarifa kwa hizo pamp na pamp hizo haraka huchukua umeme ulio kua umehifadhiwa kwenye Betri kuupeleka kwenye ogani inayoitwa sinusnude na hii sinus haraka inaamsha upya mapigo ya moyo. ndio utakuta Mtu unaweza kuamka tena kwa mfano kuna wale wanaota usingizini wanavamiwa na kitu Fulani anataka kuinua mkono hawezi mdomo hawezi kupiga kele miguu hawezi kuinuka atahangaika hapo mpaka sinas ikamilishe umeme wa kutengeneza mapigo ya moyo na hapo hua shida iko kwenye Betri kutokua na umeme wa kutosha, hivyo kama MTU hutokewa na hali hiyo Mara kwa Mara basi chukua hatua mapema. kwa upande wa sex hapo kinachoitajika mdawote ni umeme wenye volteji normol kwanzia maandalizi (Romance) hadi kukutana kimwili (intercoerce) ikatokea kua uume umefeli katikati ya tendo basi Betri zako sio nzuri hapo humaanisha Damu haifiki vizuri kwenye mishipa inayouinua uume, kama mwanzoni unapoanza unasex vizuri hadi unafika mwisho, kurudia inafeli tatizo lako ni kwamba haufanyii service uume wako kwa maana ndani ya mishipa kumeziba hivyo pressure nyepesi haitoweza kupenyezesha damu ndani ya mishipa inayozunguuka uume, kama wewe uume wako hausimami kabisa kutoka mwanzoni kwenye maandalizi na haujawahi kupata ajali yoyote ile basi wewe shida yako iko kwenye ubongo na mishipa hiyo. Sasa hapo ili kumsaidia inabidi kupata historia walau kidogo.Ila kwa wewe muuliza swali shida yako iko kwenye service ya uume inaonyesha wewe huutumia tu uume wako bila kuufanyia mainternens Kua na desturi ya kufanya service katika uume. Mbona magari tunayoyanunua navkuyatumia kila siku hua tunayafanyia service na kwakutumia gharama? Inakuaje tushindwe kufanya service uume zetu na ni buree?
Hakika maelezo yako yamenikosha usema ukwel wamungu ila samahani naomba unisaidie kunielewesha hapo kwenye kufanyia service uume wangu yaani naifanyaje hiyo service?
 
Tatizo langu ni kupata choo kilichochanganyika na damu, halafu pia njia nayo inakua inauma. Hali hii inanipo uwoga sana.
Kwanza pole Bwana karimu yawezekana ukawa na vimelea ndani ya tumbo nashauri ukapime choo kisha urudi tushauriane
 
Asante sana ndugu, ila ukweli niliwahi kuugua vidonda vya tumbo. Baada ya kumaliza dozi nikawa vzr kabisa yale maumivu ya chini ya kifua saiv hayapo. Ila hii hali ya mchanganyiko wa damu inaweza kusababishwa na nini?
 
Hali ya choo yenye mchanganyiko wa damu Mara nyingi hua na sababu nyingi lakini katika rekodi ya wagonjwa wengi. sababu ni hizi hapa anaweza kua na minyoo aina ya amiba au anaweza kua na kidonda kwenye utumbo mpana ima inawezekana kukawa na uvimbe kwenye njia ya hajakubwa uvimbe ambao unasababisha mishipa ilioko kwenye njia ya hajakubwa kuvimba na kupasuka wakati wa kjisaidia au kunaweza kua na maambukizi yaliopelekea njia ya haja kubwa kua na michubuko inapotokea kupata choo kigumu michubuko hukwanguliwa na kuanza kubleed yote hayo hubainika kwa Maelezo ya mgonjwa mwenyewe.baada ya Maelezo Dokta atashuku jambo ambalo atakuandikia vipimo.ikatokea Dokta akashuku tofauti basi lazima vipimo ataandiko tofauti
 
Mkuu ziko sababu nyingi sana juu ya hali ya kufeli wakati wa kutekeleza majukumu ya kindoa na hili swala takriban linawahusu wanaume wengi sana mkuu.na hapa wanaume wengi walikua wanasubiri mmoja aanzishe kuuliza jambo hili ili yapatikane maandishi haya.Kwa ujumla uume ni ogani muhimu na haifanyikazi peke yake.Pale unapoona uume umesimama kuna mambo mengi yalio sababisha uume usimame lakini mtaji mkubwa ni afya yamtu kwanza, baada ya afya ndio yanafata haya.1 mfumo wa umeme wako mwilini unatakiwa uwe nolmol ili kuhakikisha umeme unakua na nguvu ya kuiendesha mitambo zinazo drive uume Kuna vitu vinavyoitwa mg A.T.P Adinosine Triphosphate na mg G.T.P Guanosine Triphosphate hizo zote aina mbili ni Betri ambazo ziko mwilini Betri hizo kazi yake kubwa ni kutunza umeme ambao unazalishwa kutoka sehemu mbalimbali ya vyanzo vya umeme mwilini Umeme huu ni umeme wa akiba pale wewe unapokua umelala usingizini kuna kitu kinachoitwa Cation pamp (au unaweza kuita inverter)hizo ni pamp ambazo kazi yake ni kuzichaji Betri na kazi ya pili ni kupelekea umeme unapoitajika.kitendo hiki cha mtu kulala na kuamkatena hiyo ni kazi ya hizo pamp Pale wewe umelala ubongo ukatambua kua unaweza kulala moja kwa moja(kufa) ubongo hutoa taarifa kwa hizo pamp na pamp hizo haraka huchukua umeme ulio kua umehifadhiwa kwenye Betri kuupeleka kwenye ogani inayoitwa sinusnude na hii sinus haraka inaamsha upya mapigo ya moyo. ndio utakuta Mtu unaweza kuamka tena kwa mfano kuna wale wanaota usingizini wanavamiwa na kitu Fulani anataka kuinua mkono hawezi mdomo hawezi kupiga kele miguu hawezi kuinuka atahangaika hapo mpaka sinas ikamilishe umeme wa kutengeneza mapigo ya moyo na hapo hua shida iko kwenye Betri kutokua na umeme wa kutosha, hivyo kama MTU hutokewa na hali hiyo Mara kwa Mara basi chukua hatua mapema. kwa upande wa sex hapo kinachoitajika mdawote ni umeme wenye volteji normol kwanzia maandalizi (Romance) hadi kukutana kimwili (intercoerce) ikatokea kua uume umefeli katikati ya tendo basi Betri zako sio nzuri hapo humaanisha Damu haifiki vizuri kwenye mishipa inayouinua uume, kama mwanzoni unapoanza unasex vizuri hadi unafika mwisho, kurudia inafeli tatizo lako ni kwamba haufanyii service uume wako kwa maana ndani ya mishipa kumeziba hivyo pressure nyepesi haitoweza kupenyezesha damu ndani ya mishipa inayozunguuka uume, kama wewe uume wako hausimami kabisa kutoka mwanzoni kwenye maandalizi na haujawahi kupata ajali yoyote ile basi wewe shida yako iko kwenye ubongo na mishipa hiyo. Sasa hapo ili kumsaidia inabidi kupata historia walau kidogo.Ila kwa wewe muuliza swali shida yako iko kwenye service ya uume inaonyesha wewe huutumia tu uume wako bila kuufanyia mainternens Kua na desturi ya kufanya service katika uume. Mbona magari tunayoyanunua navkuyatumia kila siku hua tunayafanyia service na kwakutumia gharama? Inakuaje tushindwe kufanya service uume zetu na ni buree?
Unafanyiaje services uume?,hapo kidogo umetuacha njia panda
 
Back
Top Bottom