Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Dr mm nasumbuliwa na Uric Acid blood,hili kwa ss limekuwa ni tatizo kwangu mpaka kuna baadhi ya vyakula na vinywaju nimeshauriwa nisitumie,je unaweza kunisaidia kuhusu tiba naamini madoctor mmetofautiana
 
Hakika maelezo yako yamenikosha usema ukwel wamungu ila samahani naomba unisaidie kunielewesha hapo kwenye kufanyia service uume wangu yaani naifanyaje hiyo service?

Service ya uume iko namna hii ndugu flulanga. kwanza kabisa kwakua ulikua hufanyi service hiyo. Hapo inakubidi ufanye kama ifuatavyo Chukua mafuta yoyote lakini isiwe gliselin mafuta ya kujipaka sio losheni.

Hakikisha uume uwe hauja simama halafu paka uume wote mafuta hayo, kisha vingirisha kiganja chako cha mkono wa kulia anza kua kama unaukamua uume kwa kuanzia kwenye shina kuja kichwani ongeza kasi ya kubana mkono ili uweze kuisukuma damu kuileta kwenye kichwa fanya hivyo kama dakika tano hakikisha lakini uume uwe haujasima ukihisi kama unataka kusima acha ushuke kisha endelea ukikamilisha dakika tano tulia uache uume urilax kama nusu saa kisha uoshe uume vizuri kuondoa mafuta baada ya hapo Chukua maji moto ambayo unaweza kuoga bila shida weka ndani ya chombo kisha chukua kitambaa cha pamba kisha ingia bafuni kikunje kiwe kinene kama tauro hivi kisha kitambaa hicho kichovyeshe kwenye maji hayo yenye motomoto kiasi. Kisha kitandaze kitambaa hicho kwenye mkono wa kulia Halafu mkono huo ushike uume wako uvingirishe mkono kama ulivyofanya mwanzo uanze kukanda taratibu taratibu Fanya hivyo kama dakika kumi baada ya hapo utakua umemaliza. Kumbuka zoezi la kwanza la mafuta ni la kuimarisha mishipa ya uume pamoja na kuinyoosha ili damu iweze kufika kwenye kichwa pia zoezi hilo linafanya uume uwe mkubwa napia kichwa cha uume kitakua na umbo zuri la kufanya mwenziwako awe enjoyerble wakati wa sex.

zoezi la pili ni la kuzibua mishipa na kuondoa mabaki mabaki ya shahawa ambayo hua yamejishikiza kwenye mrija pindi uume unapokua umefeli katikati ya tendo hivyo kufanya mrija kua mwembamba hali hiyo ambayo huifanya mishipa ya uume isiwe fleksible wakati wa kukutana.

Pia sasa jenga mazoea kila unapokwenda kukojoa uugawe mkojo Mara tatu. Usikojoe moja kwa moja kama mbuzi kufanya hivyo kutakufanya isiwe unafika kileleni haraka.

Kingine kila unapomaliza kukutana hakikidha umeenda kukojoa mkojo wa kawaida ili kuondoa mabaki ya shahawa ambayo yakibaki humo husababisha stons kwenye bleder Mpaka hapo ndugu utakua umenufaika vya kutosha na wale wanaoufatilia mnyororo huu. Karbu tena by Dr.Nkingwa
 
Nkingwamh Dah aisee shukrani sana dokta ama hakika umenipa vitu vigeni kabisa katika ubongo wangu mungu akubariki sana nahisi kwahili tumemaliza ila naomba nikusumbue,

me nimekuwa nikihisi maumivu ziwa lakushoto kwajuu kidogo maumivu hayo sio makali sana nahuwa yanatokea kama sekunde kadhaa hivi au inaweza fika hata dakika moja alafu yanakata naweza nikakaa tena hata siku moja au zaidi yasiku moja yanakuja tena au kuna siku zingine naweza kuhisi hayo maumivu zaidi yamara moja kwasiku nakuna wakati naweza kukaa hata wiki kadhaa bila kuhisi maumivu sasa sijajua tatizo laweza kuwa nini yawezekana ukawa nauzoefu wacase kama hii yakwangu
 
Dr mm nasumbuliwa na Uric Acid blood,hili kwa ss limekuwa ni tatizo kwangu mpaka kuna baadhi ya vyakula na vinywaju nimeshauriwa nisitumie,je unaweza kunisaidia kuhusu tiba naamini madoctor mmetofautiana
Nikweli lakini ningependa unijibu haya kwanza! 1Unakunywa pombe? 2 Una pressure ambayo inapelekea kila muda kupewa dawa za kukojoa? 3 Je Ulisha Pima Damu sukari yako? Je hapo ulipo ni mnene sana?
 
Nikweli lakini ningependa unijibu haya kwanza! 1Unakunywa pombe? 2 Una pressure ambayo inapelekea kila muda kupewa dawa za kukojoa? 3 Je Ulisha Pima Damu sukari yako? Je hapo ulipo ni mnene sana?
1:Ndio pombe nakunywa ila nilishauriwa nisinywe tena bia sababu na yenyewe inachangia ongezeko la hio Uric Acid

2:sina tatizo lolote la pressure iwe ya kupanda au kushuka

3:sukari nilishapima na yenyewe nilikuta ipo normal kbs,inshort walinifanyia kipimo sijui wanakiita full blood picture

NB: kwa kifupi mm sio mnene nipo kawaida tuu uzito wangu unachezea 65kg

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Dah aisee shukrani sana dokta ama hakika umenipa vitu vigeni kabisa katika ubongo wangu mungu akubariki sana nahisi kwahili tumemaliza ila naomba nikusumbue, me nimekuwa nikihisi maumivu ziwa lakushoto kwajuu kidogo maumivu hayo sio makali sana nahuwa yanatokea kama sekunde kadhaa hivi au inaweza fika hata dakika moja alafu yanakata naweza nikakaa tena hata siku moja au zaidi yasiku moja yanakuja tena au kuna siku zingine naweza kuhisi hayo maumivu zaidi yamara moja kwasiku nakuna wakati naweza kukaa hata wiki kadhaa bila kuhisi maumivu sasa sijajua tatizo laweza kuwa nini yawezekana ukawa nauzoefu wacase kama hii yakwangu
Jaribu ukapime Pressure ili tujue nguvu ya msukumo katika mishipa ya Damu wakati moyo unadunda (systolic)pili tujue nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ya damu wakati moyo umetulia au katikati ya mapigo ya moyo (diastolic) Namba zote za namna mbili Doctor akuandikie badala ya majibu ya mdomo ya kusema huna pressure au una pressure namba zitatusaidia zaidi hapa Jingine Akuchunguze heart bit kwa Dakika idadi yake pia akuandikie ili itusaidie pia kujua kama imeongezeka ama imepungua namba hiyo pia itatusaidia kujua kama yamevurugika. Nimesema upime hivyo ninashuku kua unataka kupata tatizo kwenye moyo Sasa endapo utapima vipimo hivyo ambavyo pia rahisi hata kwa gharama tutaweza kujua ni sehemu gani ya moyo ambayo inataka kupata risk
 
Jaribu ukapime Pressure ili tujue nguvu ya msukumo katika mishipa ya Damu wakati moyo unadunda (systolic)pili tujue nguvu ya msukumo wa damu katika mishipa ya damu wakati moyo umetulia au katikati ya mapigo ya moyo (diastolic) Namba zote za namna mbili Doctor akuandikie badala ya majibu ya mdomo ya kusema huna pressure au una pressure namba zitatusaidia zaidi hapa Jingine Akuchunguze heart bit kwa Dakika idadi yake pia akuandikie ili itusaidie pia kujua kama imeongezeka ama imepungua namba hiyo pia itatusaidia kujua kama yamevurugika. Nimesema upime hivyo ninashuku kua unataka kupata tatizo kwenye moyo Sasa endapo utapima vipimo hivyo ambavyo pia rahisi hata kwa gharama tutaweza kujua ni sehemu gani ya moyo ambayo inataka kupata risk
Sawa dokta nitafanya hivyo
 
Dr mambo vp,
Mwanangu wa miezi 3 anatokwa na mapele makubwa kichwani kama majipu yanatengeneza usaha na kupasuka yenyewe,sijampeleka hospital ila watu wananiambia sababu ni joto.
Je kuna ukweli wowote katika hilo na kama siyo nitumie dawa gani majipu hayo yaondoke?
 
Dr mambo vp,
Mwanangu wa miezi 3 anatokwa na mapele makubwa kichwani kama majipu yanatengeneza usaha na kupasuka yenyewe,sijampeleka hospital ila watu wananiambia sababu ni joto.
Je kuna ukweli wowote katika hilo na kama siyo nitumie dawa gani majipu hayo yaondoke?
Salama kabisa.
Kabla sijaendelea ningependa unipe historia ya vipimo alivyo pima Mama yake kipindi cha ujauzito.
Kwani sababu za mapele ya namna kama hiyo hua ziko nyingi bila kujali umri.
 
Mke wangu anaumwa U.T.I na sex nae but sipat maambukizi kameza dawa kila aina ila hapon
 
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la tatizo la uvimbe/ fibroids kwa kina Dada/ kina mama. Chanzo cha tatizo ni nini? Options za matibabu ni zip? Nini ushauri wako kwetu kuhusiana na hili? Asante kwa kuendelea kutuelimisha.
 
Kuumwa na kichwa Mara kwa Mara tatizo nini
Habr Mr.Miraji. Kuumwa nakichwa Mara kwa mara, Mara nyingi hakusababishwi Na sababu za hatari, au hakumaanishi kua kuna ugonjwa mbaya sana unaoendelea mwilini.
Lakini wakati mwingine kunaweza kumaanisha kua kuna ugonjwa wa hatari mwilini unao hitaji matibabu ya haraka.
Kuumwa Na kichwa kunaweza kugawanyika katika makundi kadhaa kutokana Na visababishi kama ifuatavyo.
1 Maumivu ya kichwa ya awali (Primary headache)
Maumivu haya husababishwa Na kuongezeka kwa hisia za maumivu katika viungo vinavyo tambua maumivu ndani ya ubongo.
Mfumo wa kemikali katika ubongo, mishipa ya fahamu, mishipa ya damu ya nje ya fuvu ama misuli ya shingo Na kichwa, huchangia kusababisha maumivu ya kichwa ya awali.
Kuna baadhi ya watu wao wamebeba vinasaba vinavyo sababisha wao kupata maumivu haya maishani mwao.
Aina hii ya maumivu ya kichwa nayo imegawanyika katika makundi makubwa mawili.

( A )MAUMIVU YA KICHWA YA MIGRAINE(MIGRAINE HEADACH)
Aina hii ya maumivu ya kichwa ndio ambayo imeenea sana. Na watu wengi wanaosumbuliwa Na maumivu ya kichwa ya Mara kwa Mara hua Na tatizo hili la migraine.
Maumivu haya yanaweza kua ya upande mmoja.lakini yanaweza kua katika paji la Uso.pia Na kusikika katika eneo lote la paji la uso Na shingo.

Aina hii Mara nyingi hua ni ya kichwa kugonga"(throbbing pain) Na huambatana Na dalili kama vile kichefu chefu au kutapika, kizunguzungu, macho kushindwa kuona vizuri, Na macho kuuma pindi yanapoangalia mwanga.
Na mgonjwa wa maumivu haya hujisikia nafuu pindi akipumzika.

Pia mtu mwenye tatizo la migraine endapo atakua anatumia vitu kama vinywaji vyenye kemikali ya caffeine au pombe( alcohol)Sigara husababisha kuchochea zaidi kumwa kwa maumivu hayo.
Pia Mawazo, Uchovu,Hasira, nayo ni miongoni mwa mambo yanayochochea maumivu haya.
Aina hii pia huweza kuwasumbua wanawake ambao wako katika umri wa kuweza kushika mimba.
Ambao ndio wameanza kupata hedhi zao hivi karibuni.

(B) MAUMIVU YA KICHWA CHA MGANDAMIZO."(TENSION HEADACH).
Maumivu haya ya kichwa kwa kawaida hua ya kugangamiza,/kukaza(Pressing /tightening) Na hua yanatokea kwenye pande zote za paji la uso, kuelekea utosini.( Frontal-occipital).Na haya hua hayaongezeki pindi mgonjwa anapotembea kama ilivyo kwa migraine.
Pia hayaambatani Na dalili za kichefu chefu ama kutapika, ama kizunguzungu.
Lakini Mara nyingi maumivu haya huanza pale mtu anapokua Na msongo wa mawazo, au kukosa usingizi.(Insomnia)

MAUMIVU YA KICHWA (SECONDARY HEADACH)
Aina hii ya tatizo Mara nyingi husababishwa na Tatizo ambalo liko ndani ya damu Na mgonjwa hupata maumivu haya kama matokeo au ishara ya tatizo katika mwili.

Maumivu ya namna hii Mara nyingi yamekua yakiambatana Na dalili zingingine ambazo pia zimekua zikisababishwa Na tatizo la msingi.ambazo ni
1 Homa
2 kutapika
3 kupungua uzito
4 Dalili za mfumo wa fahamu (kuchanganikiwa, kuzimia,kupungua kwa hali ya ufahamu,macho kushindwa kuona,mwili au sehemu ya mwili kupooza)
5 Maumivu ya viungo/ mifupa.

Mara nyingi sababu za maumivu haya hua ni maambukizi ya bacteria au virusi.

Kuna wakati mwingine maumivu ya kichwa huchangia sana Na mifumo ya maisha tunayoishi ambayo ni kinyume Na kanuni za afya.
Kama vile kutokunywa maji ya kutosha,kutopata usingizi wa kutosha,kufanya kazi sana kupita kiasi kupelekea uchovu uliopitiliza,Na matumizi ya vinywaji vyenye caffeine Na Pombe Na Sigara.

Hivyo basi nibora kuishi kwa kufuata kanuni za afya ili kujikinga Na maumivu haya ya kichwa ya Mara kwa mara.
Na kama unafuata kanuni za afya Na bado unashambuliwa Na maumivu haya.
Kua ukijibu maswali haya wewe mwenyewe kabla ya kwenda Hosp.
1 kichwa kinauma,Je kinaambatana Na Homa?
2 kichwa kinauma kinaambatana Na dalili za mfumo wa fahamu?
3 kichwa kinauma kinaambatana Na maumivu ya viungo Na mifupa?
4 kichwa kinauma kinaambatana Na kupungua uzito?.

Kichwa Kikiwa kinauma Na ikiwa unajibu maswali haya "ndio" zikapatikana basi ninashauri fika katika kituo cha afya haraka ili uchunguzi zaidi ufanyike.Mr. Miraji Na Umma kwa ujumla nimatumaini yangu mmeelewa.
Kama kuna maswali mengine Mimi kwenu ni wito Na ninawakaribisha tena.




Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mke wangu anaumwa U.T.I na sex nae but sipat maambukizi kameza dawa kila aina ila hapon
Habari ndugu. Naomba nikwambie kitu kimoja cha msingi Na ukizingatie.
Mkeo haponi U.T.I kwakua anatibiwa hiyo U.T.I pekee. Neno hilo Mara zote watu tunapenda kulitaja kwa wepesi, Na ndio maana tunalichukulia kua ni tatizo jepesi.
U.T.I Ni kifupi cha neno hili (URINARY TRACK INFECTION) yani maambukizi katika njia ya mkojo.
Ndugu maambukizi haya katika njia ya mkojo sio tatizo la msingi, hayo hua ni kama matokeo ya tatizo lililoko mwilini.
Ndio maana unapokua Na tatizo hilo kuna wakati huambatana Na Homa.
Kwa hiyo ninakushauri mpeleke mkeo hospitalini, afanyiwe uchunguzi wa damu Na atapatiwa matibabu sahihi.

Matokeo ya vipimo ndio yatayoamua mkeo atibiwe nini, sio hiyo UTI. Kitachoamuliwa kutibiwa hata UTI itakua imetibiwa pia.
Usipende kumnunulia mkeo dawa katika maduka ya dawa kwa kibali cha neno U.T.I
 
Back
Top Bottom