Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Nilipima sukari nikawambiwa sina presha nayo sina Labda hiyo VDRL MAANAA SIJUI NI NINI
VDRL ni VENERAL DESEASE RESEACH LABORATORY ni vipimo cha kuangalia antibodies wa triponemo anaesababisha kaswende. Ninazidi kukushauri upime kwani tatizo hilo ni hatari. Kwani likiwa sugu huanza kuleta matatizo ambayo ya kutatanisha
 
Dr...napenda sana kufanya mazoez ya kunyanyua vyuma 7.5kg kila upande....lakin tatizo linakuja kwenye mkono wa kushoto kaa hauna balance au nguvu wakati wa kunyanyua....naanza vizuri lakin unachoka haraka na wakati naendelea kunyanyua mkono wa kulia unaonekana uko juu na mkono wa kushoto upo chini...?
 
Okay Asante nitafanya hivo

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Dr...napenda sana kufanya mazoez ya kunyanyua vyuma 7.5kg kila upande....lakin tatizo linakuja kwenye mkono wa kushoto kaa hauna balance au nguvu wakati wa kunyanyua....naanza vizuri lakin unachoka haraka na wakati naendelea kunyanyua mkono wa kulia unaonekana uko juu na mkono wa kushoto upo chini...?
Je nakifua hua kinauma? Je hua unahisi kichomi upande wa kushoto mwa kifua? Je hua unasikia kizunguzung? Ndugu hayo niliokuuliza namaanisha unapokua nje ya wakati wa mazoezi. Naomba unijibu ili nitapotoka ofisini nianze na wewe!
 
Hapana mkuu
 
Kizunguzungu uwa nasikia lakini kwa sekunde chache sana kaa moja au mbili
 
Je nakifua hua kinauma? Je hua unahisi kichomi upande wa kushoto mwa kifua? Je hua unasikia kizunguzung? Ndugu hayo niliokuuliza namaanisha unapokua nje ya wakati wa mazoezi. Naomba unijibu ili nitapotoka ofisini nianze na wewe!
NimekuPM mkuu
 
mkuu mmi tatzo langu ni hofu ,na woga uliopitilizza, pindi ninapotaka kufanya Kitu Fulani kma kuongea mbele ya umati WA watu, nk na mapigo ya moyo hubadilika gafla na kwenda mbio ?
 
mkuu mmi tatzo langu ni hofu ,na woga uliopitilizza, pindi ninapotaka kufanya Kitu Fulani kma kuongea mbele ya umati WA watu, nk na mapigo ya moyo hubadilika gafla na kwenda mbio ?
Mkuu hilo tatizo limekuanza hivi karibuni au ni la miaka zaidi ya mitatu!
 
Dr samahani nasumbuliwa na tatizo la kuumwa kiuno bila sababu,nina mtoto mmoja,ila kwa sasa kila nikishika ujauzito unatoka.naomba ushauri nini tatizo?
 
Hivi zile NTA za masikioni zinafaa kutolewa au kuachwa? Zamani nilikuwa nazitoa lakini kuna video nilikuja kuiona ikionyesha sio vizuri kutoa NTA za masikioni kwani hulinda sikio zidi ya vitu hatarishi, kipi kinafaa kuzitoa au kuziacha
 
Dah huu uzii nimzuri sana naomba uwe endelevu namungu ukupe moyo kama huo, mimi tatizo langu ninahofu namara nyingi hofu yangu naisikia tumboni, natatizo jingine niliwahi kutokewa nasundosundo yaani kama vinyama flani hivi vinaota mfano wataulo ila vilikuwa vidogovidogo sehemu zangu zasiri yaani yale maeneo yanayoota mavuzi nikawa navikata mwisho wasiku nikawa nimeviacha2 ila vikaanza kupotea taratibu mwisho wasiku vikaisha nawala sikwenda hsptl hali hii imenitokea kama miaka 2 imepita je nauliza tatizo lilikuwa nini naje kupotea kwahivyo vinyama ndio yawezekana nikawa nimepona hilo tatizo? Nanilidumu navyo zaidi yamwaka
 
Dr samahani nasumbuliwa na tatizo la kuumwa kiuno bila sababu,nina mtoto mmoja,ila kwa sasa kila nikishika ujauzito unatoka.naomba ushauri nini tatizo?

Bila samahani balagashia.ni majukumu yetu, Ni kwamba sababu za kuumwa kiuno ziko nyingi na tambua kwa mwanamke kuumwa kiuno sio tatizo Bali ni ishara inayo tambulisha kua viungo vya uzazi haviko sawa.Unakuta mwanamke unaweza kuumwa na kiuno kwa sababu ya tatizo linaloathiri viungo vya uzazi ikijumuisha Endometriosis, Syst ya overi Saratani ya Overi au fibroids ya Uterus.

Kwakua wewe ni mwanamke na umesema unamtoto mmoja na ukishika ujauzito unatoka basi tatizo lako litakua ni endometriosis (vinyama Fulani vimeota ) kama unaitaji kuzaa fika hospitalini ufanyiwe uchunguzi sehemu zote za nyonga zako.

Mi nimehukumu moja kwa moja kua hiyo ni endometriosis kwakua hapa haujasema maumivu ya tumbo ingekua umeeleza na maumivu ya tumbo basi ningetoa hukumu tofauti. Ila uchunguzi ni muhimu ili tujiridhishe Nenda kachunguze Kwanza Ultrasound likipatikana tatizo basi tukushauri upime vipimo vya Damu ili tuangalie antibodies wa bacteria. Ambao ndio tuwape jina kua wao ndio wahalifu wa tatizo hilo
 
Hivi zile NTA za masikioni zinafaa kutolewa au kuachwa? Zamani nilikuwa nazitoa lakini kuna video nilikuja kuiona ikionyesha sio vizuri kutoa NTA za masikioni kwani hulinda sikio zidi ya vitu hatarishi, kipi kinafaa kuzitoa au kuziacha

Ndugu nta za sikio sio vizuri kuziondoa kwani hizo ni kinga dhidi ya vivamizi hatari vya mwili ambayo hupenda kutumia vitundu wazi vya mwili ili kupenya katika mwili inta hii kitaalamu huitwa cerumen ambazo huzalishwa na mwili pia kazi nyingine husaidia kusafisha na kulainisha sikio pamoja na kulinda ngozi ya mifereji ya sikio.

Nta ya sikio huzalishwa katika sehemu ya tatu ya gegedu katika sikio la binadamu na ni mchanganyiko wa vitu vinavyonata ambavyo huzalishwa katika tezi za mafuta na vile vinavyonata kiasi huzalishwa katika tezi maalum za jasho ila kama una tatizo la hofu na wasiwasi huongeza uzalishwaji wa nta hii kutoka tezi ya ceruminous na kuna aina mbili za kijenitiki ambazo huamua aina ya nta za sikio 1 aina ya maji maji ambayo inatawala na aina kavu ambayo imefichwa hivyo sikio haliitaji kusafishwa kwa upamba au kitu chochote

Bali sikio hujisafisha lenyewe na kulainishwa na nta hii ila kama unatatizo la hofu (woga)au wasiwa na unaweza kuwa unaipunguza nta hii nasio kuindoa kabisa ninasema hivyo kwasababu unapokua na hali kama hizo inta hii huongezeka na pengine kupelekea kuziba mifereji ya kupitisha aina za sauti Nadhani utakua umenielewa ndugu lakini pia karibu tena
 
Ndugu nta za sikio sio vizuri kuziondoa kwani hizo ni kinga dhidi ya vivamizi hatari vya mwili ambayo hupenda kutumia vitundu wazi vya mwili ili kupenya katika mwili inta hii kitaalamu huitwa cerumen ambazo huzalishwa na mwili pia kazi nyingine husaidia kusafisha na kulainisha sikio pamoja na kulinda ngozi ya mifereji ya sikio. Nta ya sikio huzalishwa katika sehemu ya tatu ya gegedu katika sikio la binadamu na ni mchanganyiko wa vitu vinavyonata ambavyo huzalishwa katika tezi za mafuta na vile vinavyonata kiasi huzalishwa katika tezi maalum za jasho ilakama una tatizo la hofu na wasiwasi huongeza uzalishwaji wa nta hii kutoka tezi ya ceruminous na kuna aina mbili za kijenitiki ambazo huamua aina ya nta za sikio 1 aina ya maji maji ambayo inatawala na aina kavu ambayo imefichwa hivyo sikio haliitaji kusafishwa kwa upamba au kitu chochote Bali sikio hujisafisha lenyewe na kulainishwa na nta hii ila kama unatatizo la hofu (woga)au wasiwa na unaweza kuwa unaipunguza nta hii nasio kuindoa kabisa ninasema hivyo kwasababu unapokua na hali kama hizo inta hii huongezeka na pengine kupelekea kuziba mifereji ya kupitisha aina za sauti Nadhani utakua umenielewa ndugu lakini pia karibu tena
Sasa Kama nikiwa sizitoi si zitajaa Mkuu na kuleta madhara? Pia tatizo la mtu kutokwa na damu puani huwa likoje?
 
Sasa Kama nikiwa sizitoi si zitajaa Mkuu na kuleta madhara? Pia tatizo la mtu kutokwa na damu puani huwa likoje?

Nadhani nimeeleza hapo juu Unapoona unadharula ya kuitaji kufanya hivyo unacho takiwa kufanya ni kupunguza nasio kuondoa kufanya hivyo ni kuondoa ulinzi na endapo utaacha kufanya hivyo huwezi kupata madhara yoyote.

Ukaona umepata madhara basi huenda kuna tatizo lililopelekea nta hiyo kutengenezwa kwa wingi kwamfano wale ambao wana kua na vivimbe ama majipujipu katika masikio yao inta hii lazima izalishwe kwa wingi.

Hili la kutoka damu puani ni swala la kawaida kwa kila mtu na Mara nyingi hua si hatari sana labda liambatane na dalili zingine. Tatizo hili huweza kusabishwa na kuumia ndani au nje ya pua kuchokonoa pua Mara kwa mara shinikizo la damu. Matumizi ya dawa za kuyayusha damu kama asprine ukosefu wa vitamin k.

Unywaji wa pombe kupita kiasi na mabadiriko ya homon kwa wajawazito ila hua tunalichukulia kua siriasi pale linapokua endelevu kwa kufanya uchunguzi katika chembe za damu aina ya Platelets pamoja na madini ya casium.

Mara nyingi tatizo la kawaida la utokaji damu puani huweza limaliza MTU mwenyewe kwa kusimama wima na kuinamisha kichwa kwambele kidogo ili kupunguza kasi ya Pressure katika mishipa ya damu puani.

Kufanya kuinamisha husaidia kuizuia damu kuteremkia tumboni na kuganda pia kuweka pamba au kitambaa chenye uwezo wa kufyonza damu kwa nje kisha kubana pua huku ukitumia mdomo kupumua.kama dakika 15 hivi husaidia
 
Dah huu uzii nimzuri sana naomba uwe endelevu namungu ukupe moyo kama huo, mimi tatizo langu ninahofu namara nyingi hofu yangu naisikia tumboni, natatizo jingine niliwahi kutokewa nasundosundo yaani kama vinyama flani hivi vinaota mfano wataulo ila vilikuwa vidogovidogo sehemu zangu zasiri yaani yale maeneo yanayoota mavuzi nikawa navikata mwisho wasiku nikawa nimeviacha2 ila vikaanza kupotea taratibu mwisho wasiku vikaisha nawala sikwenda hsptl hali hii imenitokea kama miaka 2 imepita je nauliza tatizo lilikuwa nini naje kupotea kwahivyo vinyama ndio yawezekana nikawa nimepona hilo tatizo? Nanilidumu navyo zaidi yamwaka

Hapo penye hofu tumboni ndugu flulanga pamenichanganya kidogo lakini kama nikuelewa vile! Hofu tumboni hiyo ni dalili ya vidonda vya tumbo Lakini hili la masundosundo(Genital warts) au kwa lugha nyingine vigwaru.

Huu ni ugonjwa wa kuota vinyama sehemu za siri au sehemu laini ni ugonjwa unaoenezwa kwa njia ya kujamiiana sexually transimitted in fection(STI)ugonjwa huu unaweza kutoka sehemu yoyote katika sehemu za siri iwe kwenye uume uke mrija wa mkojo(urethra)au sehemu ya haja kubwa shingo ya kizazi (cevix)au maeneo ya shamba la wakubwa ugonjwa huu husababishwa na Virusi wajulikanao kitaalam kama HUMAN PAPILLOMA VIRUS (HPV) Virusi hivi viko Vingi sana zaidi ya aina 70 lakini si wote wanaosababisha masundosundo.

ndugu ugonjwa huu unaweza ukawanao na usijue lakini ikawa unaendelea kuwaambukiza wapenzi/ mpezi zako ugonjwa huu hujitokeza na kuonesha dalili pale kinga yako inapokua imetikisika lakini kama mfumo wa kinga yako hauja uvuruga unaweza Sena umepona kumbe ugonjwa umewekwa chini ya ulinzi Sasa pale walinzi hao wanapo kwenda kukabiliana na adui wengine Virusi hivyo vinakua huru na kuanza kuonyesha vidubwasha hivyo kwa Maelezo yako ulioeleza hapa nashauri ukapime maana utakua unamwambukiza unaempenda bila sababu na tatizo hili kwa wana wake ni baya zaidi
 
Back
Top Bottom