Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

Karibuni kwa maswali yote ya kiafya


Hii ni kwa sababu nadhalia ilioko sasa juu ya tatizo hilo ni tofauti na zamani. Kwa sasa tatizo hili ukifatiria kwa kina ni kwamba haliishi Bali linapewa likizo ya miezi kadhaa then linarudi kazini.

Hali hii inasababishwa na baadhi ya madactari kwa ujumla U.T.I pamoja na homa sio ugonjwa Bali ni alarm inayopiga kuashiria kuna tatizo limeingia mwilini.Na kiukweli Doctor ndie anatakiwa aamue mgongwa upime nini baada ya Kupokea Maelezo toka kwa mgonjwa Sasa utakuta baadhi ya madaktari baada ya kupokea maelezo ya awalitu pale pale anakuandikia KAPIME MKOJO akipima majibu yatayopatikana hapo unategemea yatakua ni nini kama sio UTI.

Kwanza tambua Maana ya UTI.neno hili ni kifupi cha maneno ya kingereza yasemayo URINE TRAC INFECTION yaani maambukizi katika njia ya mkojo na tatizo hili ni tatizo la Pili baada ya tatizo halisi.

Na unapokutwa na tatizo hili Daktari anatakiwa akuandikie vipimo vingine vya kufuatiria tatizo ambalo limesababisha kuweka maambukizi kwenye nja ya mkojo au kwamsemo huu ( huwezi kuzibua mfereji wa maji taka bila ya kuhamasisha watu wasitupe taka ngumu chooni)kutibu UTI pekee nisawa na kusafisha taka kwenye mfereji wa maji taka wakati muweka taka hizo yupo na anaendelea kuweka.

Kufanya hivyo ni sawa na kujenga ofisi ya mkusanya pesa nyumbani kwako. Sasa ninakuamsha kutoka katika usingizi mzito ulionao unapopima na kukutwa na UTI amua mwenyewe kupima vipimo vingine vya Damu mbali na malaria tatizo utalolikuta hapo hilo ndio chanzo cha kuharibu mfumo wa mkojo wako tibia hilo kwa ufasaha maambukizi katika njia hiyo Nayo yataondoka
 
Mi huwa naumwa mafua mwaka mzima cjawahi kupona huwa yanapungua tu na yakikaza zaid nalazwa

Ndugu Mara nyingi Mafia husababishwa na Virusi aina ya Rhinolviruses ingawa kuna virus zaidi ya miambili wanaosababisha Mafia Lakini kwa upande wako wewe Virusi hivyo vilisha kuachia tatizo lijulikanalo kama Nasal polyps

ni vinyama Fulani ndani ya pua vimevimba kwa hiyo hali hiyo inapoambatana na mhemuko wa Virusi nilivyo vitaja husababisha vivimbe hivyo kuongezeka kuvimba na matokeo ni kuziba mfumo wako wa upumuaji

msaada ni kwamba tafuta dawa iitwayo mucoathline uwe Nayo nyumbani kwako hii ni ya kuspray Mara uonapo dalili ya uzito wa mapua basi pulizia mdomoni ukiwa umepanua mdomo hewa ya dawa ikiingia mdomoni funga mdomo kisha tolea hewa puani.

Lakini Tiba hii sio ya kumaliza tatizo chamsingi fika Hosp ili ufanyiwe uchunguzi na ikibainika vinyama vime vimba utapewa Huduma sitahiki ikiwa ni pamoja na antvirus
 
Miaka 25, nimeoa ila mke wangu hatumii mafuta yeyote isipokuwa baby care
Tatizo lako ndugu litakua ni tatizo la kisaikolojia ila tu kwa ushauri Kama hali hiyo ikitokea hua ni kero kwako tumia vitu ambayo vitapingana na manukato unayo hisi mfano unaweza tumia kachumbari yenye vitunguu vingi ili harufu ile ya kitunguu ninaimani itaingilia manukato unayohisi bila kama siokero basi iache kwani sidhani kama utakua na madhara yoyote kwako
 
Miguu kufa ganzi na kuwaka moto nn tatizo na pressure ipo nomal kabisa na saa nyingine vidole vya miguu vinakuwa Vina pwita kama kuna mduu ndani yake au usahaa
Ndugu tatizo la kufa ganzi. Tambua kwanza hili kua sio tatizo Bali huo ni mwili wako unaku alert kua Neva za mwili wako haziko sawa na Neva Mara nyingi haziwi dhaifu bila sababu huwenda mwili ikawa umevamiwa na wageni hatarishi kwa mwili nikushauritu. kama hali hiyo inakuhusu wewe basi nenda Hosp ukapime vipimo vya Typh.na vipimo vya magonjwa ya ngono.Pia upime na kisukari.Pressure.na uzito kwani huenda ukawa na uzito mkubwa pia.kama umepima na hukukuta shida yoyote katika hayo sasa jichunguze kama unatumia dawa za kifua kikuu au za kupambana na Virusi vya UKIMWI kwani dawa hizo Nazo hua kuna wakati zinafikia kudhoofisha neva
 
Mkuu mwili wa mdada kutoa harufu/jasho lenye harufu kali shida nini?
Mkuu tatizo hili ni pana sana kabla sijaendelea naomba unijulishe mdada unaemlenga hapa ni mnene sana wastani au mwembamba pia harufu hiyo inatoka sehemu gani ya mwili wake
 
style..gani,ya..kulala,wakati..wa..usiku..ni..nzuri,i..mean..ambayo..haikufanyi..uamke..umechoka,na..kuota.ndoto..mbayaa?
 
Kuna hali ya upele hutokea shingoni. Ninapotumia dawa hupona lakini baada ya miezi kama 3 au 4 vinarudi.

Hali hii imeanza tangu 2006 hadi sasa.

1.Nini tatizo?
2. Dawa yake nini?
Nimeshatumia dawa nyingi mno tangu miaka hiyo ila ni mwendo Wa kupona na kurudi baada ya miezi kadhaa
 
Mimi tatzo langu ni kuwa muda mwengine hutokezea mwili kuwasha sana na kuhisi kutembewa na vitu mwilini na kuchomachoma baadhi ya maeneo ya mwili na macho kuwasha na hali hii imenianza zaman na nishafanya check up mara mbili hospital na hakukuonekana na tatzo lolote baada ya kucheki na hali hii inanigharimu sana mana sina amani. Kwahiyo ikiwa kuna dawa yoyote inayoweza kuondoa tatzo hilo naomba ili niende nikatafute nitumie. Muwe na siku njema.
 
mkuu nmepiga mechi tar 25 ambapo demu ilkuwa cku ya nne ya breed mpka tar 27 dec pia nkapiga mechi tar 11 jan demu ananiambia ana mimba huu si wizi live?????mzunguko wake cku 28 hebu nipe ukweli hapo

Uandishi wako umenichanganya.uliposema Umekutana na mpenzi wako trh 25 ambayo ilikua ni siku ya nne ya kubleed (mpaka trh27)hapo kwenye blackert ndio palipo nichanganya Sijajua mpaka 27 anableed!au mpaka 27 mnakutana! Ila ninakujibu usijali Ni kwamba kama mzunguruke wake ni siku 28 na kwakua umesema umekutana nae tarh 25 ambayo ilikua ni siku ya 4 ya kubleed basi ninashuku kua alianza kubleed tarehe 21 December na ikiwa ni hivyo, basi mwezi wa November itakua alibleed tarehe 24.

Na kwa utaratibu huo siku yake yamayai kutungisha mimba ingekua ni tarehe 3kuu ya mwezi Jnry ila hatari ingeanzia tarehe 31ya Dicmber ingeendelea 1,2,3,4,5,6 kwa hiyo tarehe 11 uliokutana nae kwa Mara ya pili ilikua ni siku ya sitarehe isio na athira yoyote kwake.

Hiyo ni kwa mujibu wa Maelezo ulionipa manake mpaka hivi sijajua uliposema mzunguko wake ni siku 28 umeujuaje na hapo ndipo unaweza kua ndio ulipopakosea hiyo mimba ikawa ni ya kwako kweli. kama unajua kusoma mizunguko vizuri basi amekusaliti
 
Mm tatzo lang miguu inawaka moto mishipa inaniuma sana hasa ya mkono pia kuna wakat viganja vya mkono vinachezacheza yan vinatingshika, mwili unawasha sana nikijkuna natokewa na vipele, naskia vitu vinanitembelea mwilini kama utitiri, naishiwa nguvu miguun na mikonon hasa wakat wa usiku, nmepma sukar sina, HIV sina, presha cna msaada nmefanya had full blood Pc nmeambiwa cna tatzo msaada
 
Hapa nilipo shingo inaniuma hatari kama inamadonda kwandani..hali hii NI ya muda mrefu sana.

Nimedhaenda sana hospital lakini bado tatzo halijsisha.

NOTE:Nina tatizo la macho kwa miaka kadhaa,yaan kichwa huwa kinauma Mara kwa Mara.
 
style..gani,ya..kulala,wakati..wa..usiku..ni..nzuri,i..mean..ambayo..haikufanyi..uamke..umechoka,na..kuota.ndoto..mbayaa?

Kwanza kabisa kabla ya kulala hakikisha umetembea tembea kama mita mia hivi ili chakula ulichokula usiku kishuke na kile cha mchana kijiandae kutoka kama taka baada ya kutembea ujitahidi uwende choo kubwa baada ya hapo nenda kalale.

Style ya kulala hauchaguliwi kwani ukiwa usingizini ubongo ndio huamua ulaleje wewe. Ila mwanzoni kabla huja pata usingizi unatakiwa ulale position ambayo isioweza kuuchosha moyo.

Ambayo ni hii weka mkono wako juu ya mto kisha weka kichwa chako juu ya mkono halafu mguu ulioko juu uvute mbele na wachini uvute nyuma, hapo utaona hata wewe mwenyewe utakua kama ukohuru hivi baada ya hapo hautochukua mda mrefu kupata usingizi na ukipata usingizi mipango ya mlalo sio yakotena. Na nikwambietu kwamba kuota vibaya nimatokeo ya kula sana usiku na unakwenda kulala hali ya kua tumbo bado limejaa!
 
Kuna hali ya upele hutokea shingoni. Ninapotumia dawa hupona lakini baada ya miezi kama 3 au 4 vinarudi.

Hali hii imeanza tangu 2006 hadi sasa.

1.Nini tatizo?
2. Dawa yake nini?
Nimeshatumia dawa nyingi mno tangu miaka hiyo ila ni mwendo Wa kupona na kurudi baada ya miezi kadhaa
Je mapele hayo yanatoa maji maji pindi yanapotoka?Je yanauma au yanawasha? Na je yanatoka wakati gani? Wakati wa joto ama baridi! Naomba nijibu hayo kisha nitaendelea nawewe
 
Mimi tatzo langu ni kuwa muda mwengine hutokezea mwili kuwasha sana na kuhisi kutembewa na vitu mwilini na kuchomachoma baadhi ya maeneo ya mwili na macho kuwasha na hali hii imenianza zaman na nishafanya check up mara mbili hospital na hakukuonekana na tatzo lolote baada ya kucheki na hali hii inanigharimu sana mana sina amani. Kwahiyo ikiwa kuna dawa yoyote inayoweza kuondoa tatzo hilo naomba ili niende nikatafute nitumie. Muwe na siku njema.
Naomba kujua umri wako ndugu na pia nijulishe tatizo hilo limekuanza lini ili nijue pakuanzia
 
Kwanza kabisa kabla ya kulala hakikisha umetembea tembea kama mita mia hivi ili chakula ulichokula usiku kishuke na kile cha mchana kijiandae kutoka kama taka baada ya kutembea ujitahidi uwende choo kubwa baada ya hapo nenda kalale. Style ya kulala hauchaguliwi kwani ukiwa usingizini ubongo ndio huamua ulaleje wewe. Ila mwanzoni kabla huja pata usingizi unatakiwa ulale position ambayo isioweza kuuchosha moyo. Ambayo ni hii weka mkono wako juu ya mto kisha weka kichwa chako juu ya mkono halafu mguu ulioko juu uvute mbele na wachini uvute nyuma, hapo utaona hata wewe mwenyewe utakua kama ukohuru hivi baada ya hapo hautochukua mda mrefu kupata usingizi na ukipata usingizi mipango ya mlalo sio yakotena. Na nikwambietu kwamba kuota vibaya nimatokeo ya kula sana usiku na unakwenda kulala hali ya kua tumbo bado limejaa!
kama,kuna..ukweli,hapo..mwisho..kuhusu,kujaza..tumbo.hapa..saiv..nakula..ugali..mkuu..tena,mwing..sio,salama..eh?
 
Je mapele hayo yanatoa maji maji pindi yanapotoka?Je yanauma au yanawasha? Na je yanatoka wakati gani? Wakati wa joto ama baridi! Naomba nijibu hayo kisha nitaendelea nawewe
1. Hayatoi majimaji hata kidogo.
2. Yanawasha tu, nikiyakuna hutokea kama kuvimba kiasi.
3. Hayana msimu maarumu, yaweza kutokea wakati Wa baridi na hata wakati Wa joto.
 
Back
Top Bottom