kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,562
- 2,179
Sigara+ arregKikohoz kichoiSha kinasababishwa na minyoo?
Sigara+ arregKikohoz kichoiSha kinasababishwa na minyoo?
Kunywa maji kwa wingiNikitafuna big G au bubble gum kichwa kinauma na wakati mwingine nasikia kizunguzungu
Nenda hospital kapime kwanzaKichomi kinanisumbua upande wakushoto kwenye ziwa natumia antibiotics kinapoa badae kinarudi ,
Habadir nguo za ndaniMkuu mwili wa mdada kutoa harufu/jasho lenye harufu kali shida nini?
Shida ni chaso la kawaida anasweat sana, yaani lile jasho lake linaharufu kali.Habadir nguo za ndani
Hadumishi usafi
Kwanza pole sana kwa mateso hayo na nikwambietu anaetakiwa aamue wewe upime nini ni Daktari wako mi nisemetu kwamba tatizo lako ni viwango vya Ph vimezidi so kupelekea kuunguzwa acid ndani ya celi. hapo ulipo mwili wako iko busy mda wote kuunguza asidi hiyo ndani katikati ya celi. Na hali ulionayo ni madhara ya kijenitic ambayo ni matokeo ya uunguzwaji wa acid. ninacho kushauri ni kwamba rudi hospitali kamweleze Doctor wako hali bado ina kusumbua ataangalia vipimo alivyokuandikia kisha yeye mwenyewe atabidi akuandikie vipimo sahihi ambayo hujachungujwa kwani humu hatufundishani madaktari au kukosoana kwani hii ni taaluma ambayo iko poketed sanaMm tatzo lang miguu inawaka moto mishipa inaniuma sana hasa ya mkono pia kuna wakat viganja vya mkono vinachezacheza yan vinatingshika, mwili unawasha sana nikijkuna natokewa na vipele, naskia vitu vinanitembelea mwilini kama utitiri, naishiwa nguvu miguun na mikonon hasa wakat wa usiku, nmepma sukar sina, HIV sina, presha cna msaada nmefanya had full blood Pc nmeambiwa cna tatzo msaada
Pole sana banna Bobay mungu itaponesatuu.pana kua nasaka weye. Ni kwamba naomba uniwekee hapa vipimo ulivyopima huenda nikagundua kitu katika vipimo ulivyo pima.Kwani Mara nyingi matibabu huamuriwa na majibu sahihi ya vipimoHapa nilipo shingo inaniuma hatari kama inamadonda kwandani..hali hii NI ya muda mrefu sana.
Nimedhaenda sana hospital lakini bado tatzo halijsisha.
NOTE:Nina tatizo la macho kwa miaka kadhaa,yaan kichwa huwa kinauma Mara kwa Mara.
Naomba niambie nikapme nn maana hospital nlienda nikawaambia hali Bdo inaendelea wakanipa mult vitamin nitumie wk 2 hali Bdo ikaendelea nikaenda tena wakanipa cetrizen lakn Bdo hospital nao wameshndwa kuelewa labda ww naomba nisaidie vipmo vya kwenda kupma ili nikfka tu hospital niwambie nipme hik na hik itakuwa rahc kdogoKwanza pole sana kwa mateso hayo na nikwambietu anaetakiwa aamue wewe upime nini ni Daktari wako mi nisemetu kwamba tatizo lako ni viwango vya Ph vimezidi so kupelekea kuunguzwa acid ndani ya celi. hapo ulipo mwili wako iko busy mda wote kuunguza asidi hiyo ndani katikati ya celi. Na hali ulionayo ni madhara ya kijenitic ambayo ni matokeo ya uunguzwaji wa acid. ninacho kushauri ni kwamba rudi hospitali kamweleze Doctor wako hali bado ina kusumbua ataangalia vipimo alivyokuandikia kisha yeye mwenyewe atabidi akuandikie vipimo sahihi ambayo hujachungujwa kwani humu hatufundishani madaktari au kukosoana kwani hii ni taaluma ambayo iko poketed sana
Kuhusu kichwa kuuma hilo ni tatizo la macho nenda kapime mawani upate saizi ya uwezo wa macho yakoHapa nilipo shingo inaniuma hatari kama inamadonda kwandani..hali hii NI ya muda mrefu sana.
Nimedhaenda sana hospital lakini bado tatzo halijsisha.
NOTE:Nina tatizo la macho kwa miaka kadhaa,yaan kichwa huwa kinauma Mara kwa Mara.
Kwa kawaida chakula cha usiku unatakiwa ule chakula ambacho hakitolisumbua tumbo lako kisiwe kigumu na kama kikiwa kigumu Chelewa kidogo kulalakama,kuna..ukweli,hapo..mwisho..kuhusu,kujaza..tumbo.hapa..saiv..nakula..ugali..mkuu..tena,mwing..sio,salama..eh?
Ndugu matatizo ya ukungu ni matizo ya pili baada ya tatizo halisi siku zote unapokua na fungus tambua huyo ni abiriatu Dereva wake yupo nakushauri nenda hospitali kamweleze doctor ninafangasi ya muda mrefu nimetumia dawa na ikiwezekana muorozeshee na dawa ambayo ushazitumia. Kwani sababu za fungus (ukungu) ziko nyingi na dawa pia za fungus ziko nyingi usipende kua Daktari wewe na mgonjwa wewe dawa za kununua bila maelekezo ya Daktari sio vyema sana wakati mwingineKwanini fungus wanaonekana kuwa chronic sana hata kama uwe msafi sana na kufua nguo za ndani pia pindi utakapo kuoga unajikausha vzr na tawel (testicle fungus) na dawa nzuri hasa ni ipi??
Miaka 29 na tatzo limenianza huu ni mwez 8 sasa nimefanya vipimo sikuonekana na tatzo lolote lkn mwili hutokezea hali hiyo nilioleza post ya mwanzo.Naomba kujua umri wako ndugu na pia nijulishe tatizo hilo limekuanza lini ili nijue pakuanzia
Ganzi ni ishara kua Neva zako haziko sawa Pima Blood suger Pima Pressure Mara tatu yaani masiku tofauti tofauti Pima na VDRL kitachoonekana rudi humu Jf tutakupa ushauriNina ganzi Sasa ni miezi 9 na nimeonde hospital wamenimbia damu chafu ila paka Sasa siioni mabadiliko
Ujauzito unatakiwa uchukue wiki ngapi max? Kuna madhara gani kuzidisha? Nini ushauri wako kwa mwabamke aliyefikisha max lakini hajajifungua.Kama kichwa kinavyosema hapo nakaribisha maswali yanayo husu afya
Ujauzito unatakiwa uchukue wiki ngapi max? Kuna madhara gani kuzidisha? Nini ushauri wako kwa mwabamke aliyefikisha max lakini hajajifungua.
Mkuu kwa niaba ya wote Natoa shukrani za dhati,,Unajibu vizuri sanaMax huwa ni kati ya 38 hadi 42 kuzidisha zaidi ya hapo kunaweza kua na madhara ama kusiwe na madhara inategemea sana mama anakua na dalili gani. Kwa kawaida unapokua mjamzito unatakiwa uwende kwa walezi wako (Clinic) wao wamepewa dhamana ya kukuangalia wewe mwenyewe pamoja na kijusi chako hadi utapojifungua. Kwahiyo kama watakuta vidokezo vya hatari haraka watakusogeza kwa Daktari kwa msaada zaidi kwa hiyo kama umefikisha wiki 42 na bado hupati dalili ya kujifungua na hakuna tatizo lolote wewe na MTOTO tumboni endelea kusubiri wala usitake haraka lakini pia unapofikisha wiki 34 pendelea kucheza cheza na mwanao akiwa tumboni kwa kumsikilizisha tones za watoto au vikengere vya watoto hiyo itakufanya usipitilize mawiki hayo na leba ikiingia haitokua ya muda mrefu yaani uchungu wako utakua ni wa muda mfupi.wa mama wote mnapokua wajawazito jisikieni mko huru kwa kuendelea kufanya shughuri ndogondogo na muhakikishe mnakula vyakula vya faida ya vitamin na madini mbalimbali kama vile madini ya folic acid ili kuimarisha ubongo wa mtoto na ili kuepuka kuzaa mtoto taahira na awe na akili nzuri hata kimasomo na madini ya casium ambayo huimarisha mifupa ya MTOTO tumboni na muepuke kujinunulia wenyewe madawa bila ushauri wa walezi wenu wa clinic wamama mnapoona dalili ambayo sio ya kawaida haraka wahi hospitali ili utoe taarifa juu ya uonavyo
Kweli wewe mbobezi kweli kweli.Max huwa ni kati ya 38 hadi 42 kuzidisha zaidi ya hapo kunaweza kua na madhara ama kusiwe na madhara inategemea sana mama anakua na dalili gani. Kwa kawaida unapokua mjamzito unatakiwa uwende kwa walezi wako (Clinic) wao wamepewa dhamana ya kukuangalia wewe mwenyewe pamoja na kijusi chako hadi utapojifungua. Kwahiyo kama watakuta vidokezo vya hatari haraka watakusogeza kwa Daktari kwa msaada zaidi kwa hiyo kama umefikisha wiki 42 na bado hupati dalili ya kujifungua na hakuna tatizo lolote wewe na MTOTO tumboni endelea kusubiri wala usitake haraka lakini pia unapofikisha wiki 34 pendelea kucheza cheza na mwanao akiwa tumboni kwa kumsikilizisha tones za watoto au vikengere vya watoto hiyo itakufanya usipitilize mawiki hayo na leba ikiingia haitokua ya muda mrefu yaani uchungu wako utakua ni wa muda mfupi.wa mama wote mnapokua wajawazito jisikieni mko huru kwa kuendelea kufanya shughuri ndogondogo na muhakikishe mnakula vyakula vya faida ya vitamin na madini mbalimbali kama vile madini ya folic acid ili kuimarisha ubongo wa mtoto na ili kuepuka kuzaa mtoto taahira na awe na akili nzuri hata kimasomo na madini ya casium ambayo huimarisha mifupa ya MTOTO tumboni na muepuke kujinunulia wenyewe madawa bila ushauri wa walezi wenu wa clinic wamama mnapoona dalili ambayo sio ya kawaida haraka wahi hospitali ili utoe taarifa juu ya uonavyo