Karibuni kula

Halua....hapa kwa kahawa weee acha tu
 

Attachments

  • 1382174535853.jpg
    90 KB · Views: 37
Reactions: BAK
Hapo umeniacha hoi, mabungo nimekula sana shule ya msingi na sekondari lakini sikuwahi kunywa juice yake.

Weee juice ya ubungo ni nzuri sana.. FaizaFoxy hube muelezee....ukinywa siku moja tu utataka daily..
 
Last edited by a moderator:
Mie ubuyu huu siupendi, napenda ule mweupe...mikate ya maji imetiwa kitunguu swaumu!?

Hahahahahah huo mweupe si haujapikwa? Tangu lini mikate ya maji ikatiwa kitunguu thomu? Nnavojua mie unatia kitunguu maji na karot...mayai na chumvi
 
Nilikuwa na jirani Mzenj yeye alidai mikate ya maji bila kitunguu swaumu huwa hainogi nilimshangaa sana, lakini mapishi hutofautiana hapa na pale huyu anatia hiki na yule anakwambia hiki sitii. Nimewahi kuila hiyo yenye kitunguu swaumu, sikuipenda sana kama isiyokuwa na kitunguu swaumu.

Hahahahahah huo mweupe si haujapikwa? Tangu lini mikate ya maji ikatiwa kitunguu thomu? Nnavojua mie unatia kitunguu maji na karot...mayai na chumvi
 

Hahahaha unakulaje mikate ya maji? Me natia asali ndio kama mchuzi wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…