Haya kwa wanaependa hii kitu karibuni sana... BAK Heaven on earth MziziMkavu mimi49 watu8 na wengine...[/QUOTE
Wengine tumezoea dona,hicho hakishibishi.
vyakula kama hivi vyenye visupu vitamu balaa...........mke nitakayekuja kumwoa nitampima kwanza kwa mapishi,maana warembo wa siku hizi vitandani noma ila mapishi ziro.
huo mchuzi unatakiwa uchovye na chapati...........kudadeki nikiona visupu kama hivo natamani mungu ashushe gunia la chapati hapo pembeni
hayo mapocho pocho yakiwepo poa ila chapati ikiwepo hiyo ni kwa kudra za munguHahahahaha na huyo mkeo ataota vigimbi kwa kukanda chapati lol..
hayo mapocho pocho yakiwepo poa ila chapati ikiwepo hiyo ni kwa kudra za mungu
hehehehehe hiyo ukiwa mgeni wa watu ukifika ukiambia tukupatie chai au juice?unajibu """nipatie juice wakati nasubiri chai''Unashushia na hii kitu..juice ya miwa
Nimeburudika kwa kuitazama tu wallah!!Unashushia na hii kitu..juice ya miwa
hehehehehe hiyo ukiwa mgeni wa watu ukifika ukiambia tukupatie chai au juice?unajibu """nipatie juice wakati nasubiri chai''
c.c lavito wangu Heaven on earth
Ahsantee..We mtoto na huo urojo mhhhh chatni iwapi na pilipili lakini?Haya kwa wanaependa hii kitu karibuni sana... BAK Heaven on earth MziziMkavu mimi49 watu8 na wengine...
haya kwa wanaependa hii kitu karibuni sana... bak heaven on earth mzizimkavu mimi49 watu8 na wengine...
Haya kwa wanaependa hii kitu karibuni sana... BAK Heaven on earth MziziMkavu mimi49 watu8 na wengine...