Nawapongeza graduate wote waliohitimu masomo yao, either yawe ya ngazi ya degree au masters.. hongereni kwa kukwepa sup na special exams..
hakika nyani mzee amekwepa mishale mingi.
Sisi wanakitaa tunawakaribisha sana kwenye maisha halisi ya kitanzania. Maisha yasiyo na Boom wala mgomo, maandamano wala ofisi ya Mikopo kwenda kulalamika, maisha ya kukomaa bila kununua paper.
Huku mtaani hatuchagui deal ya kupiga wala hatuangalii GPA, tunaishi ili mradi siku ziende mbele.
Haya ndo maisha yetu sisi wa kitaa.