donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Pekee mkuuAsante mkuu,
Mko wangapi hapo?
Hahaha karinu home mkuuTukaribishe nyumbani sio kwenye picha mkuu.
jose leo hujawa wa kwanza ku comment hahah kwenye misosi kuna watu wako fastaMimi hapo chapati tu...ulimi nje
Karibu sana sheheMimi hapo chapati tu...ulimi nje
Hahahajose leo hujawa wa kwanza ku comment hahah kwenye misosi kuna watu wako fasta
insha'allah mkuu..Hahaha karinu home mkuu
Hahahajose leo hujawa wa kwanza ku comment hahah kwenye misosi kuna watu wako fasta
Hahah hapana mkuuMKUU UKO NYUMBA NDOGO NINI???MAANA SI KWA HAYO MAKULAJI
Mbona bia hakuna, tutafuturuje?
Hapana mkuu ni futrMbona iko kama daku mkuu?
Du,hapo ni noma sasa tunakula bila kunawa wala kunywa maji?