donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
- Thread starter
- #21
TehDu,hapo ni noma sasa tunakula bila kunawa wala kunywa maji?
TehDu,hapo ni noma sasa tunakula bila kunawa wala kunywa maji?
samahani lakini, hivyo vyote vinaenda tumbo moja?
Duh! Peke yako?!...unamaliza au hadi daku hiyohiyo?Pekee mkuu
sasa kama chakula chote hicho anaweka kwenye tumbo usiku wa leo, amefunga nini sasa? kesho njaa haitauma bado kuna chakula, sasa amefunga nini? atasema amejinyima kula kweli hapo?Duh! Peke yako?!...unamaliza au hadi daku hiyohiyo?
Hahaaa,..... ramadhani adhimu acha afurahie mfungo wake bwanasasa kama chakula chote hicho anaweka kwenye tumbo usiku wa leo, amefunga nini sasa? kesho njaa haitauma bado kuna chakula, sasa amefunga nini? atasema amejinyima kula kweli hapo?
Namaliza mkuuDuh! Peke yako?!...unamaliza au hadi daku hiyohiyo?
I second you mkuuHahaaa,..... ramadhani adhimu acha afurahie mfungo wake bwana
Mkuu hiyo mbona cha mtoto, kwa maana I weigh almost 118lbs so I eatsasa kama chakula chote hicho anaweka kwenye tumbo usiku wa leo, amefunga nini sasa? kesho njaa haitauma bado kuna chakula, sasa amefunga nini? atasema amejinyima kula kweli hapo?
AiseePekee mkuu
Unamaliza hiyo ngoma, mbona kama kubwaPekee mkuu
amefunga kweli huyo? manake haoni njaa hadi kesho yake usiku, alafu mwezi huu ndio mwezi ambao vyakula huwa vinaadimika kuliko miezi mengine, watu wanapika vyakula vingi kuliko miezi mingine. na ndio mwezi wa kufunga, hebu tuelewesheni pengine mtatukomvisi tukaipenda na kusilimu, hivi kufunga kwenu huwa mnafunga nini sasa? usiku mzima unashinda ukila vyakula hadi saa za manane, mchana umechoka digestion umelala tu kusubiria usiku mwingine uingie uanze kula.Hahaaa,..... ramadhani adhimu acha afurahie mfungo wake bwana
Hapo hujafunga Mkuu, chakula kingi mno !!!Pekee mkuu
HahahaDuh wewe vegetarian sioni nyama