Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,538
- Thread starter
- #121
umeona eee acha tuHapo ndio uzuri wa kutumia binam
umeona eee acha tuHapo ndio uzuri wa kutumia binam
Mbn unawanunulia wanaume tu
Jiraniii nakuona nakuonahapana Banam ni Kanyama kahamu tu![]()
![]()
![]()
usisahau mrejesho![]()
![]()
![]()
![]()
,,, kwani gwajima alisemaje vilee,,, ngoja ntamuuliz nkiend kanisan j2 ntakultea majibu…!!
jirani uko mubashara?Jiraniii nakuona nakuona
Sasa hili banda la kahawa wine inatoka wapi????Chukua wine basi mama.

Chukua na ww yani leo bill yote yangu

Aaaah wivu huo sasa Jirani ofa zangu zinakuhusu ninijirani uko mubashara?
maana sio kwa kuniona huko hahaha
Hata mie nakiona jirani na ofa zako
wewe na Huyo binamu yko sijawaonea wivu iweje wewe unionee wivuuu
naona unahamu ya kufungiwaa njia jiraniii......Sasa hili banda la kahawa wine inatoka wapi????![]()
......unajua ukizoea kutongozaaaa kwa kutumia kauongo uongooo inabidi uwe nakumbukumbuuu??!!!!!
Ona sasa aibu ishakupata![]()
nakupata jirani kwa ukaribu zaidiSasa hili banda la kahawa wine inatoka wapi????![]()
......unajua ukizoea kutongozaaaa kwa kutumia kauongo uongooo inabidi uwe nakumbukumbuuu??!!!!!
Ona sasa aibu ishakupata![]()
zipo kiongozi ww agiza tu utaletewaMbn kashata hatuzioni
ha ha ha..... Mwambie aache wivuAaaah wivu huo sasa Jirani ofa zangu zinakuhusu nini![]()
wewe na Huyo binamu yko sijawaonea wivu iweje wewe unionee wivuuu
![]()
naona unahamu ya kufungiwaa njia jiraniii......
Kumbe kunifata nyuma nyuma unafatilia ofa zangu
hahaha jirani wivu sunnah muulize binamu atakwambiaAaaah wivu huo sasa Jirani ofa zangu zinakuhusu nini![]()
wewe na Huyo binamu yko sijawaonea wivu iweje wewe unionee wivuuu
![]()
naona unahamu ya kufungiwaa njia jiraniii......
Kumbe kunifata nyuma nyuma unafatilia ofa zangu

nipeni za 600zipo kiongozi ww agiza tu utaletewa
kashata tupu mkuu?nipeni za 600
na kahawakashata tupu mkuu?
![]()
![]()
![]()
![]()
Zipo chache. Exception kwa ambao hawatumii kahawa ila wanapenda stori ya kiringeni.
wengine wanywe kahawa mie ninywe wine sindiyo mwanzo wakuambiwa na hujumu uchumi wa nchii unataka waache kujadili jinsi ya kupambana na hii hali ngumuuu waanze kunijadili mm

Wewe Arabian umemuacha wapiinakupata jirani kwa ukaribu zaidi
Nakwambiaaa nitamuwekea kisiki kwake hafiki bila kupita kwanguuuha ha ha..... Mwambie aache wivu