Msaka_uchawi
Senior Member
- Feb 16, 2017
- 104
- 214
we mtu unameneno sijakupatia mwenzio lolHahaha binam naona haka ni kakitchen party kasichokuwa na vyombo?![]()
![]()
![]()

we mtu unameneno sijakupatia mwenzio lolHahaha binam naona haka ni kakitchen party kasichokuwa na vyombo?![]()
![]()
![]()

haaaaaa"Binamu nyama haramu" (uarabuni)

Ahsante mumy kwa ujumbe mzuriJinsi ya KUTENGENEZA UDUGU USIOOZA:
Chukua kiasi kikubwa cha HURUMA- angalia kisiwe kikubwa sana - changanya na bakuli moja lililojaa UKARIMU.
Ongeza vijiko vitatu vya WEMA
, kisha koroga pamoja na IMANI,
baadae chuja ili kuondoa taka za CHUKI
, KIBURI,
UBINAFSI,
UCHOYO,
WIVU,
UONGO
na MAJUNGU.
ONGEZA kijiko kimoja cha UPENDO
ili kuufanya uchangamke, kisha ufunike na sufuria ya UKWELI
ili uumuke. Baadae pasha moto taratibu kwa joto la FURAHA.
Ukiwa tayari, pakua na ule kwa TABASAMU.
plz share.

mjini hakuna vyoo vya shimo vingi vya kuflash ,acha tule vitu laini ili kulainisha choooVijana wa darisalama hao..duuh
Hivyo ndo vyakula vyenu eeh..
Sisi thgeomba kipolo cha ugali au sahani la futari..
unachanganya utamu na ugwadu ili maisha yaende tena harakaHahaha kachori na kahawa wapi na wapi mkuu
Kwel mkuu,,, uliyoyasema yashankuta , naona watu wanaitamania siti yanguBora hata ulivyowahi siti mkuu maana wakija watu utakunywa kahawa huku umesimama utapiteza radha![]()
![]()
![]()

hapana Banam ni Kanyama kahamu tu"Binamu nyama haramu" (uarabuni)

Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.
,,,, huu ushilawadu classic sana…!!hahahaha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
,,,, huu ushilawadu classic sana…!!
Poleni.... Vizuri niliwahi kuwachukulia wewe na Kakaako mjanjamjanja la sivyo mlikuwa mkae korokoroni kwa wiki nzima..... Hujambo my Queen?Tulipigwa wote ban,kifungo cha 24 hrs
Chukua wine basi mama.Mbn unawanunulia wanaume tu
Hivi diamond aliingiaje freemason
,,, kwani gwajima alisemaje vilee,,, ngoja ntamuuliz nkiend kanisan j2 ntakultea majibu…!!Haya mambo tunasubiri wazinguane tena maana "vita vya kunguru furaha ya panzi"kwani gwajima kwanini aliamuwa kukaa kimya au maza naye alimzuia?

Maana mtu anatwa binam ila anafika mbali hadi mgodinihaaaaaa![]()
Sisi yetu macho tuhapana Banam ni Kanyama kahamu tu![]()
![]()
![]()
Poleni.... Vizuri niliwahi kuwachukulia wewe na Kakaako mjanjamjanja la sivyo mlikuwa mkae korokoroni kwa wiki nzima..... Hujambo my Queen?
Hakuna cha pole maana tulipata kuenjoy na binamu bila usumbufu wako maana tulikuwa gereza mojaNipo habiby...Binamu mbona hujamtag mzeewakungoa
Sisi yetu macho tu
mkuu acha husda mbona hivyoo mkuu,Basi binamu yako ww mie dada angu huyu