Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
hahaha jirani wivu sunnah muulize binamu atakwambia
![]()
![]()
![]()
unaniharibia issue zangu ......hujui naweza pata Buzi humu humu kwenye kawaha sasa wakiona unanifatafata wataogopa
hahaha jirani wivu sunnah muulize binamu atakwambia
![]()
![]()
![]()
unaniharibia issue zangu ......hujui naweza pata Buzi humu humu kwenye kawaha sasa wakiona unanifatafata wataogopa
Binam nimetokea muda muafaka kabisa huyo jirani wa ununio atarudi huwa hawapotei jumla.wengine wanywe kahawa mie ninywe wine sindiyo mwanzo wakuambiwa na hujumu uchumi wa nchii unataka waache kujadili jinsi ya kupambana na hii hali ngumuuu waanze kunijadili mm
![]()
....alafu huwa nikinywaga wine inakimbilia ikuluuu sasa sijui itakuwaje na kaka binamu sinaaa.....
...na jirani yangu humu naona keshatekwa na binamu yake........
.![]()
hahaha acha tu waogope jirani ili nipate cha kukudalalia![]()
unaniharibia issue zangu ......hujui naweza pata Buzi humu humu kwenye kawaha sasa wakiona unanifatafata wataogopa
![]()
Binam nimetokea muda muafaka kabisa huyo jirani wa ununio atarudi huwa hawapotei jumla.
umepata na binamu

uliona ile meli ni nomaHamna kitu ka hicho, Trump na wigi lake hana ubavu wa kupambana na DPRK...
Binam nimetokea muda muafaka kabisa huyo jirani wa ununio atarudi huwa hawapotei jumla.
naona unataka malipo ya wine sasaNgoja daby akukamateee jela itakuhusu babu yng yuleeehahaha acha tu waogope jirani ili nipate cha kukudalalia
Ondoa hofu kila kitu nitagharamia kujenga ubinam muhimnaona unataka malipo ya wine sasa
Mhhhh ubinamu ubinamuuOndoa hofu kila kitu nitagharamia kujenga ubinam muhim
Usiogope ni neno dogo tu limebeba maana ya undugu na iliyofichika ila sisi tutaenda kuifichua.Mhhhh ubinamu ubinamuu
babu yako yule sio haramu yako yuleNgoja daby akukamateee jela itakuhusu babu yng yuleee

hahaha haya wacha nikae siti ya pembeni nione Dereva unavyotia gia anganihaya mambo yanaanza kama safari.![]()
![]()
![]()
Yule anajidanganya kabisakipanki hana lolote kwa babu na vikombora vyake
anakopa kwenye vikoba au hukusia akiomba ?Jana nilsikia Omari anataka kununua kiwanja tena hivi anapata wapi pesa....usawa huu wa Magu