Perfectz
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 9,568
- 29,665
Naskia itakwenda mpara season Ten ,maana naskia jamaa katoa mpunga mrefu ili irushwe mpaka season ten
Kuna kila dalili za episode ijayo kuwa SERENGETI BOYZ....
Naskia itakwenda mpara season Ten ,maana naskia jamaa katoa mpunga mrefu ili irushwe mpaka season ten
hahaha jeshi limegawanyika mkuu hata kitaa kuna mapambano zaidi ya jeshiMbona wewe hujaenda jeshini ili ukafe kishujaa
Kama unaona ni vyema..

nimepiga ni screen short maana staki unafki mie nishajitakasa nangojea mwenzi muda wowote hapaHahaha,ukinizingua nakuruka binamu

Kuna kila dalili za episode ijayo kuwa SERENGETI BOYZ....
usiniambie ?mkuu hutaki na kachoriiNaomba kashata kwanza
![]()
![]()
![]()
usiniambie ?
mbona wataka kuniuwa kwa presha ebu nipe ubuyu huo
Uchawi upo sumbawangamkuu hutaki na kachorii
Vijana wa darisalama hao..duuhmkuu hutaki na kachorii
hahaha binam tatizo lako huwa unaniuzia kesi ndomana saiv naenda kwa ushahadibinamu m,baya ww unataka kunichonganishia eeee![]()
Hahaha kachori na kahawa wapi na wapi mkuu
huyu atakuwa wa kule kisiwa nduwihahaha vijana wa wapi hao hahahaVijana wa darisalama hao..duuh
Hivyo ndo vyakula vyenu eeh..
Sisi thgeomba kipolo cha ugali au sahani la futari..
Hahaha binam naona haka ni kakitchen party kasichokuwa na vyombo?Jinsi ya KUTENGENEZA UDUGU USIOOZA:
Chukua kiasi kikubwa cha HURUMA- angalia kisiwe kikubwa sana - changanya na bakuli moja lililojaa UKARIMU.
Ongeza vijiko vitatu vya WEMA
, kisha koroga pamoja na IMANI,
baadae chuja ili kuondoa taka za CHUKI
, KIBURI,
UBINAFSI,
UCHOYO,
WIVU,
UONGO
na MAJUNGU.
ONGEZA kijiko kimoja cha UPENDO
ili kuufanya uchangamke, kisha ufunike na sufuria ya UKWELI
ili uumuke. Baadae pasha moto taratibu kwa joto la FURAHA.
Ukiwa tayari, pakua na ule kwa TABASAMU.
plz share.

"Binamu nyama haramu" (uarabuni)Ubinamu wetu umeanzia humu,asaiv unaelekea kua ubinamu halali![]()
Inabidi tumtafute Gwajima hapoHivi diamond aliingiaje freemason
Inabidi tumtafute Gwajima hapo
Mbn unawanunulia wanaume tuChukua kahawa ntalipa
Hahaha nimejikuta nacheka kwa kupitilizaUchawi upo sumbawanga
Jf uchawi unausaka wapi?
kwani gwajima kwanini aliamuwa kukaa kimya au maza naye alimzuia?Inabidi tumtafute Gwajima hapo