cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,132
Tutafute mafundi wa mtaani watupige msasa, mbna fresh tyuuh.Weka aibu pembeni twenzetu tukajifunze cherehani
Tutafute mafundi wa mtaani watupige msasa, mbna fresh tyuuh.Weka aibu pembeni twenzetu tukajifunze cherehani
Una shauri wanafunzi wa kike wa VETA wavae skirt badala ya suruali?Wewe sare hizo wengine tunape da women in uniform tena za skirt...wee ulishaone warwmbo waki sauz kwenye zile uniform na walivyo na mipaja hadi raha....kule 30 years nje nje
Uniform zinakera sanaKinacho udhi huko VETA ni kuvaa sare km secondary.
Kila nikiwaona wanafunzi wake, nabaki naduwaa, hapana siwezi kwa kweli.
Woiiiiih
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Tatizo sio Uniform, tatizo level ya Elimu husika.Huna mtoto wewe, au mtoto wa ndugu yako unamuona kma dunga embe akivaa uniform?
Mmmh wapi huko hawavai? Au hawa wa kozi fupi ndo hawavai?Sio wote wanavaa ...
Umejuajee?Veta msamala




Inategemea umri, aina ya fani, na muda wa hyo fani ,...Mmmh wapi huko hawavai? Au hawa wa kozi fupi ndo hawavai?
Kwani level wasizovaa sare ni sehemu ya fashion show?Unataka VETA iwe sehemu ya mavazi fashion show?
Mnoo.Uniform zinakera sana
Oooh, ahsante kwa ufafanuzi. Sikuwahi jua hili hapo mwanzo.Inategemea umri, aina ya fani, na muda wa hyo fani ,...
Shona huna ajira ujueMnoo.
Hee..kumbe issue ya uniform ni kweli🤔Kinacho udhi huko VETA ni kuvaa sare km secondary.
Kila nikiwaona wanafunzi wake, nabaki naduwaa, hapana siwezi kwa kweli.
Woiiiiih
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Tunahitqji vyetiTutafute mafundi wa mtaani watupige msasa, mbna fresh tyuuh.
Hata hela ya kununua hizo sare sina, nishonee basi.Shona huna ajira ujue
Ndiyo ni kweli.Hee..kumbe issue ya uniform ni kweli![]()
Vyeti mbona vipo tyuuh, tutafoji usijari.Tunahitqji vyeti
Lete vipimo mi ni fundi nguoHata hela ya kununua hizo sare sina, nishonee basi.
Usijari nakuletea.Lete vipimo mi ni fundi nguo