𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
katika
kupitia
mabunge
mahitaji
mkuu
muhimu
mwigulumwigulunchemba
nafasi
sheria
taasisi
taasisi za umma
umma
wananchi
waziriwazirimkuuwazirimkuumwiguluwazirimkuumwigulunchemba
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗨 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘 𝗟𝗔 𝗩𝗜𝗘𝗧𝗡𝗔𝗠
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
katika
kupitia
mabunge
mahitaji
mkuu
muhimu
mwigulumwigulunchemba
nafasi
sheria
taasisi
taasisi za umma
umma
wananchi
waziriwazirimkuuwazirimkuumwiguluwazirimkuumwigulunchemba
Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo.
Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu.
📍Itilima - Simiyu.
📅 Septemba 14, 2026.
Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya.
📍Itilima-Simiyu
🗓️Septemba 14, 2026
——————————
Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya siasa wakati huo viongozi wa ngazi za juu wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba...
WAZIRI MKUU: WAKANDARASI WAREJEE SITE
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameelekeza wakandarasi waliokuwa wamesimamisha kazi katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara mkoani Mara kurejea maeneo ya kazi mara moja, huku Serikali ikiendelea kuwalipa ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa...
Wakili Maduhu anasema amekagua hati za mashitaka nchi nzima za watu walioshitakiwa kwa kuhusika na uhaini wa Oktoba 29 lakini hakuna hata raia kigeni aliyeshitakiwa.
Wewe kama Waziri mkuu baada ya kuapishwa ulitamka kuwa kwenye maandamano hayo raia wa kigeni hasa Kenya walihusika na walikuwa...
TAARIFA KWA UMMA
WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU AKUTANA NA RAIS WA IFAD, NAIROBI Wajadili Kilimo himilivu na uendelezaji wa Kilimo Biashara
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Mei 11, 2026 amekutana na Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Alvaro Lario, jijini Nairobi...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 6, 2026 anakagua madhara yaliyotokana na kuungua kwa soko la wafanyabiashara wadogo la Simu 2000, lililopo Ubungo jijini Dar es Salaam.
Ajali hiyo ya moto katika Soko hilo ilitokea Aprili 4 2026 ambapo inakadiriwa vibanda takribani 500 vya...
Naandika haya nikiamini utayasoma kwakuwa wewe ni mmoja wa wanajukwaa JF
Sasa hivi nchini kuna makampuni mengi yanayoagiza mali zilizokwisha tumika toka nje.
Ni jambo zuri sana kwani huwawezesha wenye kipato kidogo wasioweza kumudu kununua baadhi ya vitu vipya, kununua hivi vya mitumba...
Wakuu,
Kama mnakumbuka siku kadhaa nyuma kulikuwa na stori ya Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), aliposema mbele ya Waziri Mkuu kuwa anahofia kutekwa na Kuuwawa baada ya kuzuia miti kukatwa kinyemela huko Machemba, Muheza.
Sasa ni kama siku 3 zimepita tangu hiyo ishu kutokea. Nyie wenzangu mna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.