waziri mkuu mwigulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu awasili Roma, Italia

    𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗥𝗢𝗠𝗔, 𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜𝗔 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Roma, Italia, leo, Septemba 20, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Afya Moja na Mifumo ya Chakula na Kilimo (One...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Ili watu watabasamu, haki na uwajibikaji lazima zisisitizwe

    Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele. "Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu. 📍Itilima - Simiyu. 📅 Septemba 14, 2026.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Karibu Simiyu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Karibu Simiyu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. 📆 13 -16 Septemba, 2026.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu amfariji Rais Samia kufuatia kifo cha mume wake

    Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Mawaziri, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 10 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Tanzania inaheshimu uhuru wa wananchi kushiriki katika maswala ya kisiasa kwa njia za amani na ustaarabu

    Wakati akizungumza katika hafla ya Baraza la Maulid Kitaifa 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema Tanzania inaheshimu uhuru wa wananchi kushiriki katika masuala ya kisiasa kwa njia za amani na ustaarabu.” Kuhusu misingi ya uhuru nchini Tanzania: "Tanzania inaheshimu uhuru wa wananchi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Tanzania ni kinara katika masuala ya haki, lakini pia ni kinara wa kuhimiza wajibu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kila Mtanzania anapaswa kutimiza wajibu wake bila kuogopana, akisisitiza kuwa Tanzania ni kinara katika kuheshimu haki na kuhimiza uwajibikaji. Dkt. Mwigulu amesema hayo leo, Agosti 25, 2026 wakati akishiriki katika...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Afrika igeuze mabadiliko ya dunia kuwa fursa za maendeleo

    DKT MWIGULU: AFRIKA IGEUZE MABADILIKO YA DUNIA KUWA FURSA ZA MAENDELEO Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Afrika inapaswa kutumia mabadiliko yanayoendelea katika siasa, uchumi na usalama duniani kama fursa ya kuharakisha maendeleo yake. Amesema inapaswa kufanya hivyo kwa kuimarisha...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimondo (KKKT): Kwanini Waziri Mkuu anafanya mikutano ya hadhara wakati kuna zuio

    Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya siasa wakati huo viongozi wa ngazi za juu wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Mara

    WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo. Katika ziara hiyo itakayofanyika kuanzia leo, Jumatano Julai 1 hadi Julai...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Waziri Mkuu anaenda kusikiliza Walioachana na Waume zao kweli?, Tuwe Serious!

    Sigrada Wilhem Mligo, Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Njombe kupitia CHAUMMA, amehoji bungeni nafasi ya viongozi wakuu kushughulikia masuala madogo ambayo yanaweza kutatuliwa na viongozi wa ngazi nyingine. Akichangia bungeni, Sigrada amesema inashangaza kuona Waziri Mkuu akiacha majukumu...
  13. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba: Je, ni utatuzi wa kweli wa kero au ni Usanii na Kiini Macho? Mbona hatuoni mrejesho?

    Wana-JF, Kumekuwa na utaratibu uliozoeleka wa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mwigulu Mchemba, kufanya ziara mbalimbali sehemu mbalimbali nchini. Katika ziara hizo, pamoja na mambo mengine, amekuwa akitenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Katika utatuzi huo, tumekuwa tukishuhudia mambo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu Nchemba jiuzulu kwa kuyachafua mataifa ya jirani hasa Kenya kuwa raia wake walikuja Tanzania kushiriki kupindua serikali ya CCM

    Wakili Maduhu anasema amekagua hati za mashitaka nchi nzima za watu walioshitakiwa kwa kuhusika na uhaini wa Oktoba 29 lakini hakuna hata raia kigeni aliyeshitakiwa. Wewe kama Waziri mkuu baada ya kuapishwa ulitamka kuwa kwenye maandamano hayo raia wa kigeni hasa Kenya walihusika na walikuwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu aipongeza Simba kwa Ushindi wa mbinde dhidi ya Yanga

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga. Klabu ya Simba ilitwaa ubingwa wa Muungano mbele ya Yanga katika fainali iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex...
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu, malalamiko ya Wananchi kuhusu ukosefu wa Dawa na Takwimu zisizo na ukweli yasipuuzwe

    Katika Mkutano wako uliwahi kuhoji kwanini takwimu zinasema utoshelevu wa dawa ni 95% kwenye vituo huku asilimia 90 ya wananchi wanalalamika hakuna dawa. Mkutano aliofanya Mchengerwa ulikuwa ni mkutano wa kujisafisha na yeye ndio waziri mwenye dhamana, as we speak, hapaswi kuendelea kuwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Mwigulu: Wizara zinazohusika zinaandaa mikakati wafanyabiashara kunufaika na AFCON 2027

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba ameeleza namna Serikali kupitia wizara zake kuandaa mikakati itakayowezesha wajasiriamali kunufaika na Mashindano ya AFCON 2027 ambapo Tanzania atakua mwenyeji wa michuano hiyo. Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Amani Abdul...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunatumia vibaya mitandao. Kuna watu mitandaoni wakiandika utadhani Mungu kaandika

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania kuwa makini na matumizi ya mitandao ya kijamii, akisema baadhi ya watu wanaposhiriki mitandaoni huonekana kama wanajua yote, wakati kwa kweli hawana uhusiano wala ufahamu wa kweli. Akizungumza...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu Nchemba, tusaidie kuzuia huu wizi

    Naandika haya nikiamini utayasoma kwakuwa wewe ni mmoja wa wanajukwaa JF Sasa hivi nchini kuna makampuni mengi yanayoagiza mali zilizokwisha tumika toka nje. Ni jambo zuri sana kwani huwawezesha wenye kipato kidogo wasioweza kumudu kununua baadhi ya vitu vipya, kununua hivi vya mitumba...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD: Waziri Mkuu Mwigulu yuko sahihi ila tatizo liko hapa….

    Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu. Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono. Tatizo linaweza kuwa maeneo haya: 1. Je waliopigiwa makofi mengi...
Back
Top Bottom