Karibu Samsung Galaxy S20

Karibu Samsung Galaxy S20

Kwenye laptop tunaona hdd haijai kwa sababu laptop nyingi hazina uwezo wa kuplay 4k videos. Hivyo movie nyingi watu walizonazo ni Full HD au 720p.

Kama zingekuwa zinaweza kuplay 4k basi lingekuwa balaa. Maana movie ya around saa 1 ya 4K inaweza kuwa na around 20GB. It means ukiwa na movies 20 tu lazima hdd ikudai.

Hapo sijagusia 8k
Bado hatujafikia kwenda huko hiyo laptop kujaza HDD ya 500 nyingi ni movie na series hizo video ni za dk ngapi zijaze hiyo TB?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Studio quality hio, tafuta simu yenye tech nzuri kama hizi za type C na Earphone highend na File la Flac ukisikiliza hurudi tena kwenye Mp3 na Earphone za 3000.
Umeongea deep sana kiongozi hadi umeniacha vipi hapa kaka nafanyaje ili niweze kuprove kudownload nyimbo yenye mb 200 nikiwa na ki xiaomi change note 8t
 
Earphone ninazo nzr sana tu ambazo zinachuja mziki mzr sana tu.
 
Kwenye laptop tunaona hdd haijai kwa sababu laptop nyingi hazina uwezo wa kuplay 4k videos. Hivyo movie nyingi watu walizonazo ni Full HD au 720p.

Kama zingekuwa zinaweza kuplay 4k basi lingekuwa balaa. Maana movie ya around saa 1 ya 4K inaweza kuwa na around 20GB. It means ukiwa na movies 20 tu lazima hdd ikudai.

Hapo sijagusia 8k

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa hommie.
 
Umeongea deep sana kiongozi hadi umeniacha vipi hapa kaka nafanyaje ili niweze kuprove kudownload nyimbo yenye mb 200 nikiwa na ki xiaomi change note 8t
File unaweza pata hapa

Pengine player ya simu isikubali utahitaji flac player kama power amp

Pia kupata ile quality yenyewe utahitaji headphone nzuri.
 
Kak Asante vipi lile ombi langu karibu basi kwa group uziddi kutupa nond zaidi
 
S20 ultra wamekera tu kitu kimoja. Simu ni kali ndio, Ila kusema 45W fast charger iwe nje ya box naona samsung nao wameanza kutuletea biashara za apple walishaziacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii design sio.mchezo
samsung-galaxy-s20-ultra-11.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom