Karibu Samsung Galaxy S20

Karibu Samsung Galaxy S20

Poa mkuu,kwa uzoefu wako a71 unaionaje mkuu?
Hizi samsung A series zinazoishiwa na 1 bei zake sizielewi sana, A51 na A71 bei zake ghali sana. Kwa zaidi ya dola 400 mkuu unapata simu kali kama oneplus 7t zenye flagship Camera, soc, storage, ram etc

Hii simu nunua endapo bei yake ni chini ya laki 8 juu ya hapo achana nayo mkuu, ni mtego huu.
 
Ahsante sana kiongozi,ubarikiwe 👏
 
Ni kweli mkuu, kununua midrange more than 800K nikupoteza hela
Hizi samsung A series zinazoishiwa na 1 bei zake sizielewi sana, A51 na A71 bei zake ghali sana. Kwa zaidi ya dola 400 mkuu unapata simu kali kama oneplus 7t zenye flagship Camera, soc, storage, ram etc

Hii simu nunua endapo bei yake ni chini ya laki 8 juu ya hapo achana nayo mkuu, ni mtego huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom