Karibu Samsung Galaxy S20

Karibu Samsung Galaxy S20

Bado hatujafikia kwenda huko hiyo laptop kujaza HDD ya 500 nyingi ni movie na series hizo video ni za dk ngapi zijaze hiyo TB?
Mkuu watu wanalipia zaidi ya $100 kutoka GB 64 mfano kwenda 128 na hivyo hivyo kutoka 128 to 256..mimi personally siwezi kujaza,ila kuna watu wanajaza hizi storage mkuu na ndo maana zinaongezwa..sio lazima wote tuzijaze,ila kuwa watu wana jaza..

Video ya dakika moja iliyochukuliwa kwa 4k ni kama 376mb..hii ni 4k..how about 8k??
 
Mkuu watu wanalipia zaidi ya $100 kutoka GB 64 mfano kwenda 128 na hivyo hivyo kutoka 128 to 256..mimi personally siwezi kujaza,ila kuna watu wanajaza hizi storage mkuu na ndo maana zinaongezwa..sio lazima wote tuzijaze,ila kuwa watu wana jaza..
Ngoja tuone TB hutakuwa na haja ya external tena ma windows na prog kibao watu watakuwa wanabebea kwa simu tu.
 
Bado hatujafikia kwenda huko hiyo laptop kujaza HDD ya 500 nyingi ni movie na series hizo video ni za dk ngapi zijaze hiyo TB?
Mkuu kama matumizi yako ni madogo sawa hatukatai ila kuona 1TB ni nyingi kwa vitu vya 4k+ haupo sahihi.

CD moja tu ya Bluray yenye uwezo wa kucheza movie za 4k, ikiwa ni dual layer ni 50GB na ikiwa ni triple layer ni GB 100. Hivyo movie ya 4k ambayo sio compressed kwenye 1TB ni movie 10 mpaka 20.

Hapo hatujagusa HDR10+ (Hiyo simu inayo), 3D, mambo ya Virtual reality etc nayo yanakula GB za kutosha.

Ukija kwenye games, game hiyo hiyo unadownload wewe mb 500 ama 1GB kwenye simu zenye resolution kubwa kunakuwa na option ya HD textures inaweza kwenda hadi 4GB ama zaidi game moja.

Ukija kwenye miziki ili uenjoy quality nzuri za Hizi simu na Loseless codecs inabidi uachane na mp3 uende format kama flacs nyimbo moja tu inaweza kuzidi mb 200.

Kuna mambo mengi sana mkuu hio 1TB inakata faster.
 
Wakudownload nyimbo 1 mb 200 🙌
 
nimeona s20 ultra ina 108MP camera hii simu ni hatari, sijui aplle watakuja na nini ?
 
Kuna kipi kipya hapo? Mfani kwenye s20 Ultra108MP tushaiona kwenye Xiaomi mi note 10, 120Hz display tulishaona kwenye Asus Rog 2. Kuna kingine cha ziada?
Wadau leo ni leo asemae kesho muongo!!

Samsung leo watatangaza simu kali itayoleta mageuzi makubwa katika ulimwengu wa gadgets!

Hii si nyingine bali ni Samsung Galaxy S20!

Stay tuned.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom