Karibu Samsung Galaxy S20

Karibu Samsung Galaxy S20

Ukija kwenye games, game hiyo hiyo unadownload wewe mb 500 ama 1GB kwenye simu zenye resolution kubwa kunakuwa na option ya HD textures inaweza kwenda hadi 4GB ama zaidi game moja.



Kuna mambo mengi sana mkuu hio 1TB inakata faster.


Hiyo option mkuu unaipata kupitia play store?

Mfano kuna hii game grand truck simulator kwa Android unaipata kwa saizi 42mb au 45mb kama sijakosea ila ukija huku kwa iphone inakuwa na mb nyingi zaidi 184mb kubwa kuliko iliyo kwenye Android na ni game moja. Je ni nini inapelekea utofauti huu mkubwa wa size za mb akati ni game hio hio tu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu hio virtual reality nimeona nikomenti yako yapili unaizungumzia nisaidie mkuu ivi unaposema virtual reality huwa wamaanishaje?


Sent from my iPhone using JamiiForums
ngumu kuelezea virtual reality bila wewe mwenyewe kui experience, zinakuwa ni kama miwani unavaa (huoni mbele) then unaletewa ulimwengu mwengine, humo ndani unaweza kucheza games, kuangalia video, video za 3d, kucheza na models mbali mbali za 3d na kutengeneza prototype etc.

unaweza ukawa huna tv nyumbani ila kwa vr headset ukatengeneza tv yako ya inch 60.
gear-vr_kv.jpg


virtual reality mwenzake ni Augument reality, huyu ni kama vr lakini unaona mbele, yaani hizo models mbalimbali zinatokea mbele yako bila kukuziba. mfano unaweza kuongea na mtu kwa Ar akatokea mbele yako bila kuathiri makochi ama furniture nyengine za sebuleni.
Microsoft-HoloLens-Skype-RGB.png
 
Hiyo option mkuu unaipata kupitia play store?

Mfano kuna hii game grand truck simulator kwa Android unaipata kwa saizi 42mb au 45mb kama sijakosea ila ukija huku kwa iphone inakuwa na mb nyingi zaidi 184mb kubwa kuliko iliyo kwenye Android na ni game moja. Je ni nini inapelekea utofauti huu mkubwa wa size za mb akati ni game hio hio tu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
texture za resolution hizo mkuu, sometime lugha, sauti pia vinaweza sababisha. hapo utakuta kwenye android labda ni 480p na iphone ni 720p

na option ya kudownload texture most of time anakupa developer mwenyewe wakati wa kudownload data
 
ngumu kuelezea virtual reality bila wewe mwenyewe kui experience, zinakuwa ni kama miwani unavaa (huoni mbele) then unaletewa ulimwengu mwengine, humo ndani unaweza kucheza games, kuangalia video, video za 3d, kucheza na models mbali mbali za 3d na kutengeneza prototype etc.

unaweza ukawa huna tv nyumbani ila kwa vr headset ukatengeneza tv yako ya inch 60.
gear-vr_kv.jpg


virtual reality mwenzake ni Augument reality, huyu ni kama vr lakini unaona mbele, yaani hizo models mbalimbali zinatokea mbele yako bila kukuziba. mfano unaweza kuongea na mtu kwa Ar akatokea mbele yako bila kuathiri makochi ama furniture nyengine za sebuleni.
Microsoft-HoloLens-Skype-RGB.png

Kuna uzi mmoja niliona unamjibu mtu utofauti kati ya flagship na low end divice. Na moja ya tofauti uliyosema Ni hii ya virtual reality ukamwambia highed simu zake kioo kinakuwa quality kubwa waweza tumia kama virtual reality.je hiyo virtual reality inatumikaje katika simu mkuu?

Nb huo uzi nimeutafuta lakini nimeshindwa kuupata


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna uzi mmoja niliona unamjibu mtu utofauti kati ya flagship na low end divice. Na moja ya tofauti uliyosema Ni hii ya virtual reality ukamwambia highed simu zake kioo kinakuwa quality kubwa waweza tumia kama virtual reality je unatimiaje hiyo virtual reality katika simu ?

Nb huo uzi nimeutafuta lakini nimeshindwa kuupata


Sent from my iPhone using JamiiForums
Unachomeka kwenye headset ya Virtual reality simu, then unaivaa ile headset. Kunakuwa na controller kama remote ndogo ambayo unatumia ku navigate kama kuplay video na mambo mengine.
images
 
Unachomeka kwenye headset ya Virtual reality simu, then unaivaa ile headset. Kunakuwa na controller kama remote ndogo ambayo unatumia ku navigate kama kuplay video na mambo mengine.
images

Shukran mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom