Karibu Samsung Galaxy S20

Karibu Samsung Galaxy S20

sijui kwa nini Samsung wakaamua kuja na s20 mwaka huu badala ya s12 kama tulivyozoea,sijui kama wamesitisha jumps mlolongo waliokuwa wakienda nao

Sent using galaxy s10+
 
Kwa mujibu wa maelezo yao wanaipa 20 kwa maana ya new gen ya muongo mpya wa 2020 that's why.

Nafikiri ni strategy ya soko.
sijui kwa nini Samsung wakaamua kuja na s20 mwaka huu badala ya s12 kama tulivyozoea,sijui kama wamesitisha jumps mlolongo waliokuwa wakienda nao

Sent using galaxy s10+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom