Haka katoto kanakipururu..πKwako mpendwa,
Vile uliniambia unakuja nyumbani, basi kamankawaida ya wanawake wa kiafrika... ukarimu wa kwanza ni kukaribishwa chakula.
Na raha ataipata mpishi pale utakapokula chakula chake hata kama umetoka kula....
View attachment 2026700
View attachment 2026701
Niko pembeni, ukisema umechoka kwa safari basi ntakulisha kama kinda anavyolishwa na mama yake...π.
Wako Tashtiti......
Mnyamwezi wa Pwani.
Unyamwezini hapo juu ulichoniwekea ni appetizer, chakula chenyewe hapo bado kabisa!Mnyamwezi wa Pwani.
π We mi nipo sawa.Kama cha Kibereeengeeeeeee......π€£π€£π€£
Unyamwezini hapo juu ulichoniwekea ni appetizer, Msosi wenyewe bado kabisa!
π We mi nipo sawa.
Takudunda kasieKioo hiki hapa, jiangalie utaona nanihii imekaa upande na nanihii haijakaa majali pake vizuri na nanihii inaningβinia kwenye sarawili....πππππ
Sasa unakuwaje sawa hapo, ona sasa, eti ooh mi mgumu sijiangalii kwenye kioo...
Kumbe kipururu kimewaka....ππππ
Mi sipigani na vizee sikuhizi!Nakuitia mtu wangu tuu (Kibogoyo)
Anakudundaaaaaa π€£π€£π€£π€£
Halafu tunakurudisha kwako na kibendera cha kipururuπππππ
Mi sipigani na vizee sikuhizi!
Si unaona hata mnachopikiana si urojo huo! Wasukuma lete kitu cha Dona lenye unga wa muhogo huku pembeni kukiwa na samaki ikisindikizwa na mboga ya majani yenye karanga nyingiiii..π
Karanga na asali sawa hapo jiandae kwa Vita ya tatu ya dunia.. mi apenda chamaki..πMahaba unayajulia wapi weweee....
Tulia usome π€£π€£π€£π€£π€£
Shurti mtu anarambishwa vionjo vya Pwani....π€ͺ
Hapo bado karanga na asali vinamsubiri, mtindi na matobolwa...
Sio kila siku wali harage akuuu....!
Ubovu sishibagi bali napumzikaSamaki alhamis au ijumaa....
Kaa mkao wa kushiba π.
Pilipili makange hayaoni ndani π .
Pilipili hoho umekata makubwa mpaka zimekuwa pilipili huhuπ au utamtafunia..?Looh, dawa yako pilipili tuu, utashiba mwenyeeewee.