Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,279
Ni mwenye KheriNyerere yukwapi?
Ni mwenye KheriNyerere yukwapi?
Ngoja akute Ben Saanane ndo kiranja wa chakula.Vita vyako umevipigana vizuri, mwendo umeumaliza.View attachment 1729872
Vita vyako umevipigana vizuri, mwendo umeumaliza.View attachment 1729872
Hahahaha hahahaha!Yupo ndani, hao wamekuja kumlaki getini.
Sehemu anayostaili ni Pema peponi.Apumzike sehem anayo stahili
Ngoja akute Ben Saanane ndo kiranja wa chakula.
Lini alitangazwa, nahisi ilinipita. NikumbusheNi mwenye Kheri
Ben kumbe alishakufa?Ngoja akute Ben Saanane ndo kiranja wa chakula.
Nyerere hakai na wauajiNyerere yukwapi?
Kwa Bwana Yesu
DuhVita vyako umevipigana vizuri, mwendo umeumaliza.View attachment 1729872
Awapi! sehem anayo staili ni motonSehemu anayostaili ni Pema peponi.