karibu kijiweni!

Charminglady unasema maswali ruksa? Umeolewa, una mchumba au una Boifrendi? Una mtoto? Una miaka mingapi? Unafanya kazi? Unaishi pande zipi za nchi hii? Unapendelea nini (hobizz)? Hupendi nini? Unapenda mwanaume mwenye sifa zipi? Ni yapi matarajio yako baada ya miaka mitano? Unaweza kuniambia Strenghth na weekness zako?

Natanguliza shukrani.
 
nina mchumba anaitwa platozoom, niko kwny twenties of age,nimejiri,napenda kuchat na kutoka out,cpendi majungu
 
Last edited by a moderator:
poa mkuu kazi njema,wengne w-end huwa hatufanyi kaz full kujiachia!

nawatamaniaaaajeee...leo ni kama siku zingine za week day yaan..weekend yangu inaanza saa 9 alasiri..niwatakie mwanzo mwema wa w/end jaman
 
napenda mwanaume mrefu,mcheshi na anayejitambua. my strength najiamin katka kila nifanyalo,i dont believe katka kushndwa na co mwepesi kukata tamaa. my weakness ni katka kusaidia yan naweza msaidia mtu hapa kama vinanipita uwezo, na katika utoaji dah huwa cjiuliz mara 2. haya nawe mwaga zako TANMO
 
Last edited by a moderator:
heh hivi charminglady lini ilipita siku bila kijana hata mmoja kutokuonyesha intelest kwako? ntakuundia tume!! ili wadida wakkuona tu ​onlaini wakimbie
 
Du ndio nimezinduka maana jana nilikuwa nabembea pande za via via, ila poleni sana muendao job leo, nawatakieni kazi njema hadi mida ileee ya kukutana pale makalio bar kwa ajili ya nyama ya mbuzi
 
nina mchumba anaitwa platozoom, niko kwny twenties of age,nimejiri,napenda kuchat na kutoka out,cpendi majungu

napenda mwanaume mrefu,mcheshi na anayejitambua. my strength najiamin katka kila nifanyalo,i dont believe katka kushndwa na co mwepesi kukata tamaa. my weakness ni katka kusaidia yan naweza msaidia mtu hapa kama vinanipita uwezo, na katika utoaji dah huwa cjiuliz mara 2. haya nawe mwaga zako TANMO

Asante kwa majibu mazuri,, sasa hapo kwenye utoaji nitakutafuta veri soon. kuna kitu nataka nikuombe..
Mwenyenzi Mungu akuzidishie roho ya utoaji, na unachokitoa kamwe kisiishe wala kisiharibike.
Sema Amen!
 
Tanmo, unataka kuposa? Maswali kama interview!

Mkuu upo?
Shosti hapo juu ameruhusu maswali ndiyo maana nikatumia fursa hii kuuliza maswali yote niliyotaka kujua kutoka kwake.
Huko kwenu DongoBesh hawajambo?
 
heh hivi charminglady lini ilipita siku bila kijana hata mmoja kutokuonyesha intelest kwako? ntakuundia tume!! ili wadida wakkuona tu onlaini wakimbie

yan ndugu yangu c jf tu hata ktk real life napata usumbuf kweli, hapa jf natumia nickname bt flirt haziish hv ni kwann?
 
Du ndio nimezinduka maana jana nilikuwa nabembea pande za via via, ila poleni sana muendao job leo, nawatakieni kazi njema hadi mida ileee ya kukutana pale makalio bar kwa ajili ya nyama ya mbuzi

hujambo wewe,hope uko pouwa. .
 
hujambo wewe,hope uko pouwa. .

mie sijambo niko poa ila bado kwa bed kimtindo, nimefurahi kusikia umeshaamka ila tabu ni hiyo ndoto, usijali tafuta mda usali umwombe mola akufunulie maana yake, ucpende kupuuza dreams
 
ok,thnx me mwenyewe bdo nipo kwa bed. . .yan naona raha nikiwa kitandan tuuu hata km cna ucngz. ndo starehe yangu kulala!
 
Waooo vizuri sana, ila mazoezi kimtindo ni muhimu ili kuchangamsha mwili na viungo
 
Asante kwa majibu mazuri,, sasa hapo kwenye utoaji nitakutafuta veri soon. kuna kitu nataka nikuombe..
Mwenyenzi Mungu akuzidishie roho ya utoaji, na unachokitoa kamwe kisiishe wala kisiharibike.
Sema Amen!

Baba V 'likes' this
 
hv ngaramtoni kuna JOLLY?? we sema ulienda olmotonyi hahaha. . .

haha...ipo ndo mpya ukiwa unaelekea DUKA BOVU...KISONGO na likes!
afu msuba wa jan kijiweni haukua poa kabisa...
hakikua kitu cha MUSOMA eeh?...
i didnt get high!
 
Back
Top Bottom