karibu kijiweni!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Hapa ni kijiweni, ukifika yeyote utakayemkuta kijiweni ruksa kupiga nae story, kumwambia / kumuuliza chochote.
Kwa kuanza, habari zenyu wana chit chat? hope mko pouwa, vp w-end inakwendaje hapo? me nipo zangu ndan ya blanket mtoto wa geti kali. . . we uko wapi now?
 
Nipo nje ya geti nakusubiria
 
Hapa ni kijiweni, ukifika yeyote utakayemkuta kijiweni ruksa kupiga nae story, kumwambia / kumuuliza chochote.
Kwa kuanza, habari zenyu wana chit chat? hope mko pouwa, vp w-end inakwendaje hapo? me nipo zangu ndan ya blanket mtoto wa geti kali. . . we uko wapi now?

oi...naje chalii...ni mori!...mi niko zangu ngaramtoni...haina gweraa!kama vip ww pinduka afu dizain ntakuchek kesho...
 
Kama unasubiriwa si fanya mandingo uchoropoke fasta, umkate kiu mwenzio?
Si ni kiasi tu ya sunah, hajakwambia sana kiviiiile!

mambo Judgement
wewe ndio mlinzi wa kijiwe?
aya mm napita tu naelekea zangu JOLLY...
 
Last edited by a moderator:
Hapa ni kijiweni, ukifika yeyote utakayemkuta kijiweni ruksa kupiga nae story, kumwambia / kumuuliza chochote.
Kwa kuanza, habari zenyu wana chit chat? hope mko pouwa, vp w-end inakwendaje hapo? me nipo zangu ndan ya blanket mtoto wa geti kali. . . we uko wapi now?

masai club dis tym, naangalia usawa wa kupona kesho niamke pouwah
 
nipo mtaa mmoja unaitwa "duolojie",nakula kitu inaitwa "yangrouchuan"....yaani full kujiachia
 
mmeamkaje wana kijiwe, me nimeamka salama ila nimeota ndoto mbaya et napanda mlima kwa kushikilia mizizi mara mizizi inamomonyoka bt nkajitahd hvo hvo hadi nkafika afu mlima wenyewe chini mto unapita. dah cjuì maana yake nini?
 
Mi napita tu kuwasabah wana-kijiwe..mwenzenu ndo naelekea kuwajibika..
 
Back
Top Bottom