mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,708
Mh! Thredi zako tu!!
Wewe utakuwa cute ,bastola nini...kwa comments na threads zako tu!!
Mh! Thredi zako tu!!
Excel na DEMBA wanajeshi wanawake walio wengi ni wazuri, halafu wananidhamu na utii ambazo ndio nguzo kuu za mke mwema. Miili yao ni sexy halafu flexible - artistic, utacompare na rigid bodies! Mungu amewaumba wanadamu na activation kubwa ya kuelewa vitu kinyume na hali halisi.
Labda nyie mmeona matraffic na polisi wa kibongo hasa waliopigwa sana jua na vumbi.
we umekuja Ofisin na shida zako nianze kukwita Mpenzi .eti pole mpenzi kwa mtonyo gani!!!!!
respect mkuu!
ila tarajia stiff competition kutoka kwa mameja generalizi!
mtoto mzuri kama huyu unamwachia akae sudani kwa mwaka mzima, unategemea atarudi salama?
lazima wakubwa wamkague kidizain fulani!!
From ur comment it doesnt take a brain surgeon to know u are one of the NUNGAYEMBE!pity.
haa haa haa huo mtonyo ndio nini, hili neno nilianza kulisikia kwenye bibi bomba. hata sikuelewa maana yake.we umekuja Ofisin na shida zako nianze kukwita Mpenzi .eti pole mpenzi kwa mtonyo gani!!!!!
niliwahi kusikia mwanajeshi mmoja wa kiume akisema hatakaa athubutu kuoa mwanajeshi, nikamuuliza kwa nini akadai eti huwa wanajiachia sana kwa makamanda wao. ili wawe favoured. ila mi naamini kwamba umalaya ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na kazi ya mtu.Nikupe siri Excel prostitutes wapo karibu kila sekta ila ni nadra sana kupata mwanamke mwanajeshi prostitute!
mkuu hebu tafuta wa kukuandalia hii kwa ajili ya dinner!
sijui ungependa usindikizie nini?
Zamani makampuni ya simu yalikuwa na wadada wazuri facially, siku hizi sijui, afadhali bank kama CRDB matawi ya Knyama na Azikiwe, labda kama unataka kuosha macho tu, is not such bad. Lakini banks zingine kama NMB na NBC, Mmmmhhh! UN wako smart.
Nilishikika mpendwa nimekuja sasa ehhh sijasahau ile miadi ya airpambamoto!This Friday mpenzi, bila shaka kuna mtu aliiba pwd yako, hiyo comment sidhani kama ni yako. Where are you mimi49?