Karibu kauli zote mbaya humu MMU za wanawake, ni za wadada wabaya!

Status
Not open for further replies.
Excel na DEMBA wanajeshi wanawake walio wengi ni wazuri, halafu wananidhamu na utii ambazo ndio nguzo kuu za mke mwema. Miili yao ni sexy halafu flexible - artistic, utacompare na rigid bodies! Mungu amewaumba wanadamu na activation kubwa ya kuelewa vitu kinyume na hali halisi.

Labda nyie mmeona matraffic na polisi wa kibongo hasa waliopigwa sana jua na vumbi.
 
I dream to have a girlfriend ambaye ni mwanajeshi! I admire their courage, hasa akifanikiwa kwenda vitani na kurudi salama, dah atanitia morali sana kumfanyia lolote analotaka! Akifia vitani nitamuenzi forever!
 
Sista na DEMBA mnawaentertain waume zenu bure tu, hamjui kwamba self esteem tunazowajengea hapa JF hasa MMU ni muhimu sana na ndizo zinzofanya maisha yasonge mbele kuliko I loveu 100 za waume zenu ambazo wanawapa huku wanawacheat kimyakimya.
 
Last edited by a moderator:
Excel na DEMBA wanajeshi wanawake walio wengi ni wazuri, halafu wananidhamu na utii ambazo ndio nguzo kuu za mke mwema. Miili yao ni sexy halafu flexible - artistic, utacompare na rigid bodies! Mungu amewaumba wanadamu na activation kubwa ya kuelewa vitu kinyume na hali halisi.

Labda nyie mmeona matraffic na polisi wa kibongo hasa waliopigwa sana jua na vumbi.

respect mkuu!

ila tarajia stiff competition kutoka kwa mameja generalizi!

woman-soldier1-620x350.jpg


mtoto mzuri kama huyu unamwachia akae sudani kwa mwaka mzima, unategemea atarudi salama?

lazima wakubwa wamkague kidizain fulani!!
 
Jamani tuache utani, wadada kama AshaDii na gfsonwin utaacha kusema wazuri hata kwa kuimagine tu! Unless u intimately prove otherwise!
 
Last edited by a moderator:
respect mkuu!

ila tarajia stiff competition kutoka kwa mameja generalizi!

woman-soldier1-620x350.jpg


mtoto mzuri kama huyu unamwachia akae sudani kwa mwaka mzima, unategemea atarudi salama?

lazima wakubwa wamkague kidizain fulani!!

Ukiwa na mawazo kama hayo, hata ukimwacha wife sebuleni wewe upo chumbani utamegewa. Nadhani ukimpenda mtu kwa dhati na ukamwambie Sudan unaenda vitani na sio kunisaliti, isitoshe kumbuka moja ya kigezo cha ushindi ambacho Mungu amewatega wanadamu ni uaminifu, nadhani atasema no.

Of course (nitafunga naye nadhiri), I will hope and that's what will happen, her heart and mine will agree to each other that she is truly faithful to me. Na akirudi nitampokea kama shujaa, with very hot sex and love. Akiwa vitani nitakuwa her constant encourager. If she is truly a soldier, maana yake ana nidhamu na utii, kwa hiyo atakuwa mwaminifu.

The first thing to do to any women is to bewitch (not by magic) her, kama huyo hata akirusha risasi anakutaja wewe tu!
 
Excel mameja wakishamjua ana msimamo watamwogopa na kumheshimu, tena watataka wanijue hadi mie mumewe ni mtu gani - nitamwambia explicitly, ni mke gani mwerevu asiyependa hiyo sifa!
 
From ur comment it doesnt take a brain surgeon to know u are one of the NUNGAYEMBE!pity.

usimtukane usiyemjua ndugu. halafu mbona unamihasira hivyo. hebu pata pepsi baridi punguza presha halafu uje uchangie mjadala ukiwa na akili zako zote.
 
Nikupe siri Excel prostitutes wapo karibu kila sekta ila ni nadra sana kupata mwanamke mwanajeshi prostitute!
 
Last edited by a moderator:
Nikupe siri Excel prostitutes wapo karibu kila sekta ila ni nadra sana kupata mwanamke mwanajeshi prostitute!
niliwahi kusikia mwanajeshi mmoja wa kiume akisema hatakaa athubutu kuoa mwanajeshi, nikamuuliza kwa nini akadai eti huwa wanajiachia sana kwa makamanda wao. ili wawe favoured. ila mi naamini kwamba umalaya ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na kazi ya mtu.
 
DEMBA hao watakuwa ni wale wanajeshi walioingia jeshini kwa favour, hawana qualifications, and in that sense they can't be soldiers!
 
Last edited by a moderator:
But DEMBA sekta nyingi hapa nchini ni ovyo tu, jeshi lenyewe limekosa ile hadhi yake, maana linalinda mafisadi na udhalimu wao, majeshi ya wenzetu ulaya, yana wanajeshi kweli.
 
Last edited by a moderator:
Una vituko; UN ipi unayozungumzia? Geneva au Sudan??? Te te te...

Zamani makampuni ya simu yalikuwa na wadada wazuri facially, siku hizi sijui, afadhali bank kama CRDB matawi ya Knyama na Azikiwe, labda kama unataka kuosha macho tu, is not such bad. Lakini banks zingine kama NMB na NBC, Mmmmhhh! UN wako smart.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom