Karibu JamiiForums Mhe. Rachel Mashishanga

Karibu sana Mbunge.
Mimi Speaker ndio kiongozi wa shughuli zote kwenye bunge hili.
Kanuni na masharti lazima vifuatwe.
 
Last edited by a moderator:
Mhe. Rachel Mashishanga, nikukaribishe JamiiForums.

Rachel-Mashishanga.jpg


Nimeangalia leo na kubaini ndio umejiunga na tayari ni verified, manake uongozi wa JF umehakiki kuwa ndiwe haswa.

Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa uamuzi wako kutujali watanzania tunaotumia mtandao huu kuhabarishana na kukukaribisha katika mijadala anuai ndani ya JF.

JF si Jukwaa la Siasa tu, nikukaribishe kwenye forum ya Great Thinkers (Great Thinkers) ili uweze kushiriki mijadala iliyoenda shule ndani ya JF.

Karibu sana

Karibu sana Mhe, wetu, ila kumbuka kuwa penye wenye akili hapakosi wapumbavu pia. Zote zichukulie kama changamoto za kwenda mbele.
 
Ni jambo jema sana kwa viongozi wetu kuendelea kujumuika nasi hapa JF.

Ama kwa hakika hapa ni mahali ambapo mtu unapata nafasi ya kuwasiliana na watu wengi kwa wakati mmoja.

Pia ni mahali ambapo kuna hoja nyingi sana za msingi na wakati mwingine zisizo za msingi lakini hii ni sehemu ya jamii tuliyonayo kwahiyo ni muhimu kuelewa hilo na kujua namna ya kudeal na situation.

Karibu sana kamanda Rachel Mashishanga katika uga huu wa JF, Jambo la muhimu ni wewe kuwa tayari kukabiliana na changamoto zilizopo hapa kwakuwa si mara zote utapongezwa ama kusifiwa, na kushambuliwa ama kupingwa kupo pia lakini kwa mwanasiasa ni lazima kukubaliana na hayo yote.
 
Last edited by a moderator:
Rachel Mashishanga,

Kwanza hongera kwa kujiunga kwa a verified ID na pia kwa kujiunga hapa JF, Natumai na kuamini tutakuwa wote ipasavyo na pale inapostahili na kwamba hatutoishia kukuona katika utambulisho tu. Kuna mengi hapa kama n00b alivyogusia... Na tunahitaji michango kama yenu hasa kule Jukwaa la Great thinkers na Jukwaa la Siasa ambalo limetawaliwa zaidi na akina baba kuliko akina mama. Katika hili naamini ujio wako na E. Wassira at par ni matumaini makubwa. Karibu saana JF...

Pamoja saaana,

AshaDii.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Rachael Mashishanga Lakini mie ndie ntakuwa mpinzani wake Jimbo la Shinyanga mjini ndani ya CHADEMA, nakuomba uwe kwenye team yangu ya Kampeni kumuangusha Masela...
pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Rachel Mashishanga,

Kwanza hongera kwa kujiunga kwa a verified ID na pia kwa kujiunga hapa JF, Natumai na kuamini tutakuwa wote ipasavyo na pale inapostahili na kwamba hatutoishia kukuona katika utambulisho tu. Kuna mengi hapa kama n00b alivyogusia... Na tunahitaji michango kama yenu hasa kule Jukwaa la Great thinkers na Jukwaa la Siasa ambalo limetawaliwa zaidi na akina baba kuliko akina mama. Katika hili naamini ujio wako na E. Wassira at par ni matumaini makubwa. Karibu saana JF...

Pamoja saaana,

AshaDii.

Thnx mamii
 
Last edited by a moderator:
karibu sana kwenye jamii forum tushirikishane kimawazo ili kuandaa vijana watakao ikomboa nchi hii kutoka katika janga na mamba wakubwa ccm
 
karibu mdada
ujue tu vita ya kisiasa haipo uraiani tu hata humu katika mtandao, kuwa makini na kuwa imara saa zote. karibu tuendeleze mapambano.
 
Back
Top Bottom