Karibu JamiiForums Mhe. Rachel Mashishanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibu JamiiForums Mhe. Rachel Mashishanga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Oct 16, 2012.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 950
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 60
  Mhe. Rachel Mashishanga, nikukaribishe JamiiForums.

  [​IMG]

  Nimeangalia leo na kubaini ndio umejiunga na tayari ni verified, manake uongozi wa JF umehakiki kuwa ndiwe haswa.

  Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa uamuzi wako kutujali watanzania tunaotumia mtandao huu kuhabarishana na kukukaribisha katika mijadala anuai ndani ya JF.

  JF si Jukwaa la Siasa tu, nikukaribishe kwenye forum ya Great Thinkers (Great Thinkers) ili uweze kushiriki mijadala iliyoenda shule ndani ya JF.

  Karibu sana
   
 2. m

  mwanza_kwetu JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 684
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Karibu sana MH wetu; vita inapiganwa kote kote palipo na fursa
   
 3. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,568
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Nadhani utaziba pengo la kamanda Regia Mtemanyenje,uonekane basi mara kwa mara.
   
 5. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,981
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  huyu wangemuachiaga segerea tungechukua jimbo na vitu maalumu angepewa mwingine
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,567
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Rachel Mashishanga nae ndani ya nyumba!? sasa kazi imefikia pazuri, Karibu sana kamanda hapa home of great thinkers.

  Tunatarajia kupata mengi kutoka kwako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,256
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Karibu sana Kamanda
   
 8. M

  Magesi JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Njoo nyumban kamanda
   
 9. g

  geophysics JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndo nani jamani huyo...
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  By the, who is this Lady?
   
 11. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Ni mh. Mbunge wakuteuliwa (CHADEMA).
  Karibu sana mh.
   
 12. REMSA

  REMSA JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Wow" sasa naanza kuona matumaini ya kuamshwa wanawake kwetu Segerea,Karibu dada
  Rachel ndani ya JF,najua ukipata mawazo ya GT wa JF lazima utachemka na Segerea yetu
  haitakuwa kama ilivyo hasa BAWACHA."You are Welcome"
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,389
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Tanzania itakombolewa na mabadiliko ya fikra ya kila mmoja wetu...wengi huwaza uongozi ni "fame" na wala si dhamana ya kuwakilisha na kutendea kazi mawazo ya wanajamii...
  Karibu Mhe. Mashishanga
   
 14. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,296
  Likes Received: 4,723
  Trophy Points: 280
  R wewe ni jembe ulifanya kazi segerea kiasi kwamba hata mpendazoe hakupata tabu wakati wa kampeni. karibu sana. mia
   
 15. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,217
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  jamani nani huyu , mbona simju kabisaaaa
   
 16. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,292
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mbunge huyu RACHEL MASHISHANGA ndie pekee ambaye ame-declare kuwa kambi ya Zitto 2015 na hivi karibuni alitangaza kuwa anatishiwa kuuawa kutokana na kumuunga mkono Zitto kuwania urais UNLESS leo aje akanushe hili. Anyway karibu sana JF Mheshimiwa.
   
 17. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dada...dada!! dada.. dada huyoo!! dada... dada huyoo dada! Funguwa shampeni jamani!!
   
 18. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,629
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Ndio anajiunga kwa mara ya kwanza au ameamua kuja kivingine tu? Karibu sana mheshimiwa!
   
 19. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,698
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimeupenda upara wake. Hakuna kuremba. karibu Mh.
   
 20. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wacha kwanza mihasira.... mdogo mdogo! yani we mgeni siku ya kwanza hata hajatulia duuh!!mwache atulie kwanza.. atafunguka tu! Mh Mshishanga potezea hili kwa leo lakini ukiona vipi........

   
Loading...