Karibu JamiiForums Mhe. Rachel Mashishanga

karibu mama,huenda ukawa mrithi wa regia mtema kwa kutoa ufafanuzi mbalimbali hapa jf.
 
Mimi nampongeza kujiverify humu maana inataka moyo wa chuma! lakini kiongozi unayeogopa maoni yoyote ya watu si kiongozi.

Karibu na kuwa na moyo wa chuma kama Zitto pamoja na jukwaa hili sometimes kuwa chungu kwake lakini yumo tu!!!
 
[h=2]This message has been deleted by Rachel Mashishanga.[/h]Ameshaanza ubabaishaji jamvini sijui ninamuonea imani sana kwa kuingia JF the home of Great thinker wakati yeye tunamfahamu vema yupo bellow average.
 
karibu mama na sitashangaa Zitto kuota uraisi maana hata mwanangu huwa ananiambia nataka niwe kama Dr.Slaa
 
Kudelete post hapa JF siku hizi ni ubabaishaji? wa wapi wewe?

Mimi wa hapahapa JF, mbona uanuliza maswali ya kitoto? hivi hujui kuandika kitu kukipost then kukifuata na kuki-delete ni ubabaishaji? yaani kiufupi unakuwa umeposti kitu kwa kukurupuka, kiongozi anayekurupuka ni hatari sana anaweza kufanya decision ya hovyo kuja kukumbuka kwamba kachemka anakuwa tayari kasababisha loss
 
No your wrong on this, i have experience JF kudelete post ni kitu cha kawaida kabisa na siyo ubabaishaji, ila kama yeye ni mbababaishaji atabaki kuwa hivyo mbababaishaji lakini si kwa kudelete post. I always centered Man.
 
Wewe unaliwa nini. Unakijua chama changu wewe? Ama mtu akiipinga ccm na cuf wewe ushaconclude kuwa ni chadema

Mwambie huyo zezeta,siyo wote wanaoipinga CCM ni wachadema, sisi tunaichukia CCM kwa ufisadi wake na tutamuunga mkono yeyeote atayeweza kuwaondoa wakoloni weusi, mataahira bakini huko huko magamba.
 
Rachel nafahamu hadi kijijini kwenu, kwetu ni Masanwa kata ya budekwa na wewe kwenu ni Mwabomba kata ya budekwa pia wilayani maswa.Tumekuwa na mbunge muadifu sana enzi hizo alijulikana kwa jiana la DR.PIUS YASEBASI NG'WANDU alifanya kazi nzuri sana kwa kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya wana-maswa leo mji wa maswa unayo master plan, kuna maji safi ya kunywa na barabara nzuri.

Wewe ukiwa CHADEMA fuata nyayo za mkongwe wetu DR.pius hakikisha unapeperusha bendera ya CDM kwa ujasiri mkubwa kama ulivyoonyesha segerea, ulimtengenezea mazingira mazuri kaka yako mpendazoe, hukuwa na makuu ulimtii kaka yako na chama chako ukakubali kuachia jimbo.Lakini kumbuka Mungu alipanga uwe mbunge ndiyo maana leo ni mbunge pia.
Nakuchagulia jimbo la SHINYANGA MJINI kwa mwaka 2015 ila kwa sasa usitangaze subiri muda ukifika, Kama uko kambi ya ZITTO ondoka haraka.NG'WAGUKU DADA
 
Karibu,karibu,huyu mnayemkaribisha mbona haonekani?hawa wanaoitwa waheshimiwa maringo yao ndio haya sasa!
 
Mimi wa hapahapa JF, mbona uanuliza maswali ya kitoto? hivi hujui kuandika kitu kukipost then kukifuata na kuki-delete ni ubabaishaji? yaani kiufupi unakuwa umeposti kitu kwa kukurupuka, kiongozi anayekurupuka ni hatari sana anaweza kufanya decision ya hovyo kuja kukumbuka kwamba kachemka anakuwa tayari kasababisha loss

mmnh! Kazi unayo
 
Back
Top Bottom