Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Karibu Rachel. Mwangaruka mayo.
Mzee wetu Mashishanga anaendeleaje na ustaafu? Mpe hi!
Mzee wetu Mashishanga anaendeleaje na ustaafu? Mpe hi!
Mhe. Rachel Mashishanga, nikukaribishe JamiiForums.
Nimeangalia leo na kubaini ndio umejiunga na tayari ni verified, manake uongozi wa JF umehakiki kuwa ndiwe haswa.
Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa uamuzi wako kutujali watanzania tunaotumia mtandao huu kuhabarishana na kukukaribisha katika mijadala anuai ndani ya JF.
JF si Jukwaa la Siasa tu, nikukaribishe kwenye forum ya Great Thinkers (Great Thinkers) ili uweze kushiriki mijadala iliyoenda shule ndani ya JF.
Karibu sana
Wewe kweli mfuata mkumbo hata wabunge wenu wakupewa huwajui.
hizo ulizovaa ni gold?
Rachel Mashishanga,
Kwanza hongera kwa kujiunga kwa a verified ID na pia kwa kujiunga hapa JF, Natumai na kuamini tutakuwa wote ipasavyo na pale inapostahili na kwamba hatutoishia kukuona katika utambulisho tu. Kuna mengi hapa kama n00b alivyogusia... Na tunahitaji michango kama yenu hasa kule Jukwaa la Great thinkers na Jukwaa la Siasa ambalo limetawaliwa zaidi na akina baba kuliko akina mama. Katika hili naamini ujio wako na E. Wassira at par ni matumaini makubwa. Karibu saana JF...
Pamoja saaana,
AshaDii.
Obheja sana, Yupo tu!Karibu Rachel. Mwangaruka mayo.
Mzee wetu Mashishanga anaendeleaje na ustaafu? Mpe hi!
karibu sana kwenye jamii forum tushirikishane kimawazo ili kuandaa vijana watakao ikomboa nchi hii kutoka katika janga na mamba wakubwa ccm
Niko tayari kaka
Kafanya uthubutu kwa lipi hasa au kupata huo u-viti maalum?
Ndo nani jamani huyo...