Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Nia ilikua nikuleta hiyo Picha ya mwisho kabisa
Kwenye nyungo mbili za kwanza Ni mikusu halafu linafuata tangadasi(mnyeewa), halafu misasati, unarudi kwa mikusu tena!. Matunda ya asili kabisa!.
![]()
Wanapelekwa mnadani au sokoni mkuu
Itakuwa ndio uliyoipendaNia ilikua nikuleta hiyo Picha ya mwisho kabisa
Hapana!.Wewe kweli Mhehe.....